Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

kuwa mkweli we mbeba sumu chama siyo cha kikabila au cha kikabila na uchaguzi ni lini? acha kubandika matamko kama mnyika.
 
Uchaguzi ndani ya Chadema unakuhusu nini? Unataka kujinga na chama hicho au? Acga umbea utasutwa mtaani. Pilipili usizozila zinakuwashaje?
 
Mkuu unataka uchaguzi gani tena wakati Mbowe ni mwenyekiti wa maisha wa Chadema na Dr Slaa ni katibu mkuu wa maisha.

Mbowe ni mswati 78 maana ameatamia madaraka huyu mtu. Na Mimi nitagombea Bavicha na lazima nitashinda. Hiki chama Hiki tusubiri tu mwisho wake unakaribia
 
Uchaguzi ndani ya Chadema unakuhusu nini? Unataka kujinga na chama hicho au? Acga umbea utasutwa mtaani. Pilipili usizozila zinakuwashaje?

Nyie chaguzi hii ukipita salama ole wenu. Nategemea ndio utakuwa mwisho wa Chamdomo.Tusubiri tuwaone mtakavyo bomoka
 
Uchaguzi umeshafanyika nyumbani kwa mzee mtei tengeru. Hakuna uchaguzi mwingine tena.
 
Uchaguzi umeshafanyika nyumbani kwa mzee mtei tengeru. Hakuna uchaguzi mwingine tena.

Ok mkuu kumbe funika kombe mwana haramu apite. Yaani Chamdomo ni chama cha kikabila, ukanda na umangimeza. Full uchaga ndani ya CDM
 
Uchaguzi umeshafanyika nyumbani kwa mzee mtei tengeru. Hakuna uchaguzi mwingine tena.

CDM hakina demokrasia kabisa maana Katibu wao tayari ni Yule babu mpenda wake wa watu
 
kwa hali ya kawaida wewe umeona wapi chama cha kuwindana kuuwana kila kukicha fanyeni uchaguzi au viongozi wenye sifa wameisha?
 
Uchaguzi umeshafanyika nyumbani kwa mzee mtei tengeru. Hakuna uchaguzi mwingine tena.

Watauana safari hii nakuambia ndugu yangu maana wengi wao wanauchu wa madaraka
 
April mpaka leo hivi kuna uchaguzi wa CDM kwa ngazi zilizotajwa umefanyika??? Nadhani hicho ndicho kitu ambacho watu wanataka kujua!.
 
Angekuwa hashine ungemjua wewee.....?? Kwa taarifa yenu hakuna uchaguzi, hawahawa wanaowanyima usingizi mpaka 2015...,

Mtei tayari ameshawateua viongozi wa juu hakuna uchaguzi tena mambo ya ukabila
 
sure mkuu. maana chama kitakuwa vipande vipande. ndo maana wanaabuse internal democracy ili kuzuia hicho kitakachotokea

Tena mchana kweupe......ndio utakuwa mwisho wa Chamdomo ndio maana hawataki kufanya uchaguzi wanajua chamtema kuni
 
Angekuwa hashine ungemjua wewee.....?? Kwa taarifa yenu hakuna uchaguzi, hawahawa wanaowanyima usingizi mpaka 2015...,

dah, kweli nimeamini chadema ni chama cha wachaga, ukanda na udini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…