msidanganye watu eti demokrasia wakati CCM inaendeshwa kwa koo za Kawawa,Mwinyi,Malecela,Kikwete,Nnauye,Makamba,Karume,Nyerere,Sokoine zinarithishana vyeokuna haja ya kuweka ukomo wa watu kushika madaraka ndani ya vyama ili kukuza demokrasia
kwani lissu ni wa kaskazini?
Hana uwezo huo, labda akaoe kwa mtei kama mbowe.
Dr kashasema wanajenga chama kwanza, uchaguzi utafanyika chama kikisha jengwa.
Hajasema 2014, amesema mpaka chama kiwe imara, hatakama ni 2020.
Hicho ndo chama cha demokrasia.
Uchaguzi ulifanyika
2009 unaofuata 2014,kama vp mbona magamba mnataka uchaguzi uchaguzi
uchaguzi tu chadema Mtanufaikaje? Mwambieni MREMA KWANZA AITISHE
TLP
kwani lissu ni wa kaskazini?
Hana uwezo huo, labda akaoe kwa mtei kama mbowe.
Dr kashasema wanajenga chama kwanza, uchaguzi utafanyika chama kikisha jengwa.
Hajasema 2014, amesema mpaka chama kiwe imara, hatakama ni 2020.
Hicho ndo chama cha demokrasia.
Atumie katiba ya chama gani? Uchaguzi ulifanyika 2009 na mwingine unatakiwa kufanyika 2014... Sasa wewe unataka afanye leo?Tundu lissu ni mwanasheria anayejiita mwanasheria mtetea haki za BINADAMU.Tunaomba atumie uwezo wake kuhakikisha katiba ya CHADEMA inaheshimiwa na uchaguzi unafanyika ndani ya CHADEMA kuanzia chini hadi juu.Hakuna sababu ya CHADEMA kujiita chama cha kidemokrasia wakati ndani ya Chadema demokrasia ya uchaguzi huru na haki haupo na uchaguzi unakwepwa.Watu wanakwepa na kuteleza kama samaki majini ukiwaambia uchaguzi huru na haki uitishwe.Wanaruhusu watu wapige kelele kwa nguvu za PEOPLES POWER mikutano ya nje lakini wakifika ndani hawaruhusiwi kupiga peoples power ndani ya chadema ifanye uchaguzi.Peoples power ni pamoja na kuruhusu (people) wanachama wachague viongozi.Suala la kung`ang`ania kuwa waliopo waendelee tu kwa kuwa wanaweza si demokrasia kama wanaonekana wanaweza kura zifanyike kama katiba inavyotakas watu wawapigie kura bila shaka kama ni kweli wanawaona wanaweza watawapa kura zote za ndiyo.Wanaogopa nini kupigiwa kura?
Chama chochote cha demokrasia,demokrasia huanza kuonekana ndani ya chama chenyewe.Kama katiba yake hawaiheshimu si cha kidemokrasia ni cha kidikteta kinachotumia neno demokrasia kuficha makucha yake.Tunataka wale wapiga kelele wa CHADEMA mnaopiga kelele za peoples power mpige hiyo kelele ndani ya CHADEMA ifanye chaguzi sawa sawa na katiba ya Chadema inavyotaka na Tundu Lissu kama ulivyovalia njuga suala la katiba ya nchi valia njuga kwanza hilo vinginevyo usipofanya hivyo tutakujua kuwa ndio wale wale tofauti majina na vyama.
Msajili wa vyama naye asome katiba za vyama ajue zinatakiwa zifanye chaguzi zake lini na afuatilie na kushinikiza vifanye chaguzi.Kazi yake si kusajili tu chama halafu akimaliza anakaa tu na kula kuku kwa mrija kwa hela za walipa .Aviandike vyama ambavyo vinakiuka katiba zao vifanye chaguzi ikiwemo CHADEMA vinginevyo na yeye raisi amfungishe virago atafute msajili wa vyama vya siasa mwingine.Tunataka vyama serious vinavyosimamia katiba zao.
Msajili wa vyama tunaomba shinikiza uchaguzi ufanyike kama katiba ya chadema inavyotaka.Wakikataa hatua za kuchukua unazijua vizuri sina haja ya kukufafanulia.
Hivi unafanya kazi wakati gani? Maana siku nzima upo jamiiforumsAthubutu aone kama hawajamtimua!,yeye wanamtumia tu kwenye mambo mengine lakini sio kwenye masuala ya chama.wanamtumia kwenye kesi zinazowahusu wabunge wa chadema pamoja na chama,lakininhawezi kusema aisute chadema watamtimua asubuhi tu.
Ni wa kusini eeeh!!!... CCM si chama cha kidini wala kikabila eeeh?!!...kwani lissu ni wa kaskazini?
Hana uwezo huo, labda akaoe kwa mtei kama mbowe.
Dr kashasema wanajenga chama kwanza, uchaguzi utafanyika chama kikisha jengwa.
Hajasema 2014, amesema mpaka chama kiwe imara, hatakama ni 2020.
Hicho ndo chama cha demokrasia.
Hivi unafanya kazi wakati gani? Maana siku nzima upo jamiiforums