utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Mleta mada naomba nikupe jibu sahihi.
Viongozi walioko madarakani walichaguliwa mwaka 2009 na kipindi chao kinaisha mwaka 2014 tena mwishoni. Sasa uchaguzi kufanyika mwaka huu wa 2013 ni uamuzi wa busara wa viongozi wetu kuwahisha uchaguzi kwa ili kutobananisha uchaguzi wa ndani ya chama na uchaguzi wa serikali ya mtaa.
Kwa hiyo, wadau badala ya kuwashambulia viongozi wetu wangekuwa wanatumia mashambulio hayo kuandika vitu vya ukweli na pongezi nyingi kwa viongozi kupunguza muda wao wa uongzi kwa mwaka mmoja kwa malahi ya chama. Huu ndio ukweli wa 100%. Sina hakika kama viongozi wa ccm wanaliweza hilo.
Vyama vya upinzani tangu lini kuna uchaguzi? Ukisha shika ni unabaki mpaka chama kife.
wana jf
mwanzoni mwa mwaka huu kulikuwa na tetesi kwamba uchaguzi wa ndani wa viongozi wa chadema utafanyika kuanzia mwezi wa nne 2013, cha ajabu hivi sasa ni mwisho wa june lakini kimya na hakuna kinachoendelea.
Demokrasia iko wapi ndani ya chadema??? kuna rafiki yangu nlikuwa naongea naye kuhusu hili akasema uchaguzi wa nini wakati viongozi wapo?? je hilo jibu ni sahihi kwamba mfumo wa kifalme umerudi Tanzania? Tumezoea kumsikia Augostino Lyatonga Mrema akiwa mwenyekiti wa TLP tangu ahamie chama hicho miaka zaidi ya 15, John cheyo wa UDP na Prof Lipumba ni mwenyekiti wa kudumu wa CUF.Je hivi vyama ni wale wale??
ahhaaaa kumbe! ndo maana mzee cheyo anabaki kuwa mwenyekiti wa UDP, CHRISTOPHER MTIKILA kuendelea kuwa mwenyekiti wa DP, Mrema naye kung'ang'ania TLP, huku mzee lipumba naye amekuwa Mungu mtu wa CUF. ukienda kwa NCCR Mageuzi unakutana na udicteta wa mliberali Mbatia. Naye mbowe anaendeleza yaleyale
Unalalamikia tetesi? Uchaguzi hufanywa kwa mujibu wa katiba na sio tetesi you dope
Mbowe amekuwa mwenyekiti toka lini yakhe ukilinganisha na hao CCM-B wako?
ungekuwa na nia ya kujua kukikoni basi ungesaidiwa, lakini wewe moja kwa moja unajiuliza swali kisha ukajijibu mwenyewe sasa sisi tukusaidie kivipi?wana jf
mwanzoni mwa mwaka huu kulikuwa na tetesi kwamba uchaguzi wa ndani wa viongozi wa chadema utafanyika kuanzia mwezi wa nne 2013, cha ajabu hivi sasa ni mwisho wa june lakini kimya na hakuna kinachoendelea.
Demokrasia iko wapi ndani ya chadema??? kuna rafiki yangu nlikuwa naongea naye kuhusu hili akasema uchaguzi wa nini wakati viongozi wapo?? je hilo jibu ni sahihi kwamba mfumo wa kifalme umerudi Tanzania? Tumezoea kumsikia Augostino Lyatonga Mrema akiwa mwenyekiti wa TLP tangu ahamie chama hicho miaka zaidi ya 15, John cheyo wa UDP na Prof Lipumba ni mwenyekiti wa kudumu wa CUF.
Je hivi vyama ni wale wale??
katiba ya chama chenu inasemaje? mbona tuliambiwa kuwa mchakato wa uchaguzi ulitakiwa uanze mwezi Aprili 2013 na sasa huu ni mwezi wa 7 unaelekea hakuna taarifa yoyote.
uchaguzi utafanyika lakini kuna uwezekano mkubwa msiowapenda magamba wakarudi hao hao, sijui itakuwaje, ebu angalia na ile picha pale juu, ndo maana ukiwa mwana ccm lazima akili ziwe pungufu kumbe mnafanyiwa matambikoMkuu unataka uchaguzi gani tena wakati Mbowe ni mwenyekiti wa maisha wa Chadema na Dr Slaa ni katibu mkuu wa maisha.
Ni nani aliwaambia hayo? Tupatie ToR za umbea wako huu
matarajaio yenu ni kuona uchaguzi ukifanyika na wale viongozi wote wanaitoa jasho ccm hawachaguliwi, uchaguzi upo na muda utafika, chama hakiwahusu kelele lundo nyie watu mna matatizo sana eeeh !
tangu alivyouchukua toka kwa marehemu BOB MAKANI miaka 11 iliyopita, yaani tangu mwaka 2002, karibia sawa na Lyatonga Mrema sasaMbowe amekuwa mwenyekiti toka lini yakhe ukilinganisha na hao CCM-B wako?