Elections 2010 uchaguzi mkuu

wikama

Member
Nov 2, 2010
81
5
ukishinda sherekea kwa amani siyo kuanza vurugu kwawale uliowashinda polisi wakigeuka mtapata tabu badala ya raha, au ndo ulimbukkeni wa madaraka ? nawashauri walioshinda wawe watulivu waende bungeni kwa kutetea wananchi na hoja za msingi siyo kuropoka tu igeni nyendo za Dr.Slaa anayetoa mambo kwa evidence! he is good !
 
sawa tumekusikia lakini wanaoanzisha vurugu ni CCM...oops sorry I mean wale waliodondokea pua
 
Dr Slaa right now anakusanya evidence kila kona ili ajue CCM anawabanaje
 
Back
Top Bottom