uchaguzi mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

uchaguzi mkuu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by wikama, Nov 2, 2010.

 1. w

  wikama Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ukishinda sherekea kwa amani siyo kuanza vurugu kwawale uliowashinda polisi wakigeuka mtapata tabu badala ya raha, au ndo ulimbukkeni wa madaraka ? nawashauri walioshinda wawe watulivu waende bungeni kwa kutetea wananchi na hoja za msingi siyo kuropoka tu igeni nyendo za Dr.Slaa anayetoa mambo kwa evidence! he is good !
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  sawa tumekusikia lakini wanaoanzisha vurugu ni CCM...oops sorry I mean wale waliodondokea pua
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Dr Slaa right now anakusanya evidence kila kona ili ajue CCM anawabanaje
   
Loading...