Uchaguzi mkuu 2020: Tundu Lissu (CHADEMA) dhidi ya Benard Membe (CCM), hapatatosha !

Chadema wote wanataka Membe, wewe ni nyumbu wa wapi unataka Lisu?
 
Ameeeeen. Mungu mkubwa sana jamani. Benard Membe sasa rasmi atapeperusha bendera ya CCM. Vyanzo makini vya ndani ya chama cha kijani ni kuwa chaguo lao sasa ni gwiji wa diplomasia barani Afrika.
Wenye jicho la 3 tayari tulishaona kitambo
 
mkuu naona MSUMARI UNAKUINGIA VEMA!

2020 MEMBE for PRESIDENTIAL via CCM

Hii ni sawa nakutoa ahadi ya kumhonga nyumba changudoa ulokutana nae siku ya kwanza akakupa kavu na kukuachia UKIMWI.

Endeleeni na ndoto zenu za kuota una demu mkali ukiamka umechafua shuka. Jifurahisheni
 
Kuna haja ya Watanzania kuanza kuwafuatilia mapema wagombea wa vyama vya siasa wanaotajwa kupeperusha bendera kwenye uchaguzi mkuu , hii ni muhimu sana kwa vile hutoa nafasi ya kuwajua kiundani wagombea wetu wanaotarajiwa kubeba jukumu la kuongoza nchi yetu iliyokumbwa na changamoto ya kidemokrasia , ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na kukongoroka kiuchumi mithili ya ng'ombe mwenye watoto mapacha aliyekosa malisho

Wadadisi wanauangalia uchaguzi wa 2020 kama uchaguzi utakaoacha bumbuwazi kutokana na aina ya wagombea wanatajwa kupeperusha bendera za vyama vyao , Benard Membe ambaye ni mbabe wa diplomasia ya kimataifa anatajwa kupeperusha bendera ya ccm kwa almost 75%, huku wapinzani wakijiapiza kumpa nafasi Tundu Lissu ambaye ni mbabe wa Utawala wa Sheria anayejikita zaidi kuheshimu Katiba ya nchi na uhuru wa kujieleza .

Zipo taarifa pia za jumuiya ya Kimataifa kuhakikisha Uchaguzi unakuwa huru na haki kuanzia kwenye kampeni hadi ndani ya sanduku la kura , Je kuna wa kumzuia Lissu?
Una maana member ccm kuchukuana na Lissu kumpata mgombea wa upinzani? Hivi kwanini mnajitoa ufahamu ninyi watu mnadhani watanzania wote ni members wa JF FB na social media zenu?
 
Kuna haja ya Watanzania kuanza kuwafuatilia mapema wagombea wa vyama vya siasa wanaotajwa kupeperusha bendera kwenye uchaguzi mkuu , hii ni muhimu sana kwa vile hutoa nafasi ya kuwajua kiundani wagombea wetu wanaotarajiwa kubeba jukumu la kuongoza nchi yetu iliyokumbwa na changamoto ya kidemokrasia , ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na kukongoroka kiuchumi mithili ya ng'ombe mwenye watoto mapacha aliyekosa malisho

Wadadisi wanauangalia uchaguzi wa 2020 kama uchaguzi utakaoacha bumbuwazi kutokana na aina ya wagombea wanatajwa kupeperusha bendera za vyama vyao , Benard Membe ambaye ni mbabe wa diplomasia ya kimataifa anatajwa kupeperusha bendera ya ccm kwa almost 75%, huku wapinzani wakijiapiza kumpa nafasi Tundu Lissu ambaye ni mbabe wa Utawala wa Sheria anayejikita zaidi kuheshimu Katiba ya nchi na uhuru wa kujieleza .

Zipo taarifa pia za jumuiya ya Kimataifa kuhakikisha Uchaguzi unakuwa huru na haki kuanzia kwenye kampeni hadi ndani ya sanduku la kura , Je kuna wa kumzuia Lissu?
Wewe umetumia vidonge ama mihadarati gani mkuu. Mwenyewe kishawaambia kakatwa mkia lakini akili zenu finyu zimeshindwa jata kumuelewa jamani?
 
Hivi umepiga punyeto au umevuta bange.
 
Hujui kitu .
Wewe ni mlevi ambaye bado hujalewa sana lakini akili yako inakutuma uandike maluweluwe baada ya kuota mchana. Hilo lingewezekana kama CCM ingekua chadema maana kule hawana vikao wstu wawili wanaamua lakini chama kikongwe kama ccm hilo ni kujipongeza kwa kuota ndoto ya mchana isiyo na ukweli
 
Wewe umetumia vidonge ama mihadarati gani mkuu. Mwenyewe kishawaambia kakatwa mkia lakini akili zenu finyu zimeshindwa jata kumuelewa jamani?
Unajua hata Nape alipoonyeshwa Bastola hakuamini hadi aliposoma kwenye magazeti kesho yake .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom