Uchaguzi mdogo mwingine wanukia...

Hoja yako haina mashiko aliyekuambia wabunge wa Tanganyika wako bize kiasi hicho ni nani!?
Swadakta Mkuu! Ni asilimia ndogo sana ya wabunge (magamba hamna hata mmoja) ambao wako bize kiasi cha kuharibikiwa na shughuli zao. Ingekuwa kweli tungeona maendeleo majimboni mwao. Nchi hii haishi viroja.
 
Ati nini? Ninii!

Ahaaa.......Watakuwa wamefanya vzr watakuwa wanafuata nyayo za RA. wanaachana na siasa uchwara
 
Hautanukia sababu hata udiwani wa arusha kwa wale waliofukuzwa umegoma kunukia.
Sema uchaguzi unaonukia ni wa Mbunge rafiki wa riyumba kama polisi wataamua kufanya kazi za kipolisi.
 
Mie nahisi wewe ulikua unafikiri ana Cameroon sasa ulivyogundua ukamuona ana dharau. Dharau ni subjective factor, wabongo tumezoea kuomba omba sasa mtu akiwa serious basi ana dharau. Mie namfahamu huyu bwana miaka mingi na ni mtu serious sana kwa biashara na maisha, hanaga dharau hata kidogo na zaidi utakutana anapiga story na hata mtu wa chini kidogo. Pia sio kweli kua ana makapuni kumi!! Jamani acheni udaku. PIA NATHIBITISHA KUWA HANA MPANGO WA KUJIUZULU!! nimeona nithibitishe kwa herufi kubwa maana mtu mwanaume mzima wa sura anaandika maneno utafikiri ndani yupo tofauti! Tusiigeuze JF kuwa kama magazeti PENDWA jamani. Ni hayo kwa leo

mimi siishi Kibaha; na huyu Mh. nilimfahamu muda mrefu yapata miaka kumi sasa kabla hata hajafikiria kuingia kwenye Siasa.

kama yeye yupo Serious na Biashara, kwenye Siasa alifuata nini?? au kuongeza mtaji wa S. F. Holdings

"TUELEWE KUWA LISEMWALO LIPO NA KAMA HALIPO JUA LINAKUJA KARIBUNI"

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Mizambwa,

Nahisi wewe ni mwanaume. Kama u mwanaume sisi watanzania wanaume hatuna tabia ya UMBEA.

Ukiwa Mbea unaitwa mwanamke.

Natoa USD 1,000 mtu yeyote aende BRELA akaniambie S.F Holdings ni kampuni namba ngapi (usajili) maana NAAMINI na NAJUA hakuna kampuni inayoitwa S.F Holdings ambayo inamilikiwa na Huyo mbunge wa KIBAHA.

Kwahiyo basi nathibitisha hajaongeza mtaji kwa kisichokuwepo!

Ndugu yangu kama huyu Mbunge alikuacha pole sana mbembeleze akurudie inaelekea unampenda sana mpaka unamtungia UONGO
 
Mizambwa,

Halafu nini kinaKUUMA?.

Pole kama hujapona, ina sio sababu ya kusema UONGO mchana kweupeee!
 
Mizambwa,

Halafu nini kinaKUUMA?.

Pole kama hujapona, ila sio sababu ya kusema UONGO mchana kweupeee!
 
Mizambwa,

Nahisi wewe ni mwanaume. Kama u mwanaume sisi watanzania wanaume hatuna tabia ya UMBEA.

Ukiwa Mbea unaitwa mwanamke.

Natoa USD 1,000 mtu yeyote aende BRELA akaniambie S.F Holdings ni kampuni namba ngapi (usajili) maana NAAMINI na NAJUA hakuna kampuni inayoitwa S.F Holdings ambayo inamilikiwa na Huyo mbunge wa KIBAHA.

Kwahiyo basi nathibitisha hajaongeza mtaji kwa kisichokuwepo!

Ndugu yangu kama huyu Mbunge alikuacha pole sana mbembeleze akurudie inaelekea unampenda sana mpaka unamtungia UONGO

Yatakutoka mengi na matusi mengi mimi binafsi hayanipati; kwani mtu hayo matusi yote yanakurudia mwenyewe sipo hapa kwa ajili ya kutukana mimi ni mtu mzima mwenye familiya na heshima zangu. Hunijui na mimi sikujui tafadhari changia mada kama huna la kuchangia nenda ukalale.

JF siyo sehemu ya watoto kuja kucheza mdako na kombolela watu wenye heshima zao wanachangia mada hapa.

Rekebisha tabia yako kuwa mstaarabu hatupo kijiweni hapa au kwenye mpira wa chandimu.

Tafadhari sana sijakutukana katika hoja zangu zote na wewe naomba jiheshimu kijana.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Ni kweli, wabunge Wengi wamefhoka, ilitangazwa mshahara ungelikuwa mil 12, Lkn Bahati nzuri Kama unazidi mil 2.5 wanabahati
 
Mkuu hiyo ya Kibaha sijui, ila nina uhakika uchaguzi wa jimbo la Segerea unanukia kwa karibu sana!
Mzee wa Segerea, kunanukia ushindi kwa Mpendazoe? ushindi wake umeupa asilimia ngapi? Kama ikitokea hivyo basi kaa tayari kwa kulipishwa kodi ya kichwa kwa ajili ya maendeleo ya nchi kwa kuwa kwa ajili ya kugharamia uchaguzi nchi itabaki mifupa mitupuhttps://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/A%20S%2013.gif.
 
Mizambwa,

Nahisi wewe ni mwanaume. Kama u mwanaume sisi watanzania wanaume hatuna tabia ya UMBEA.

Ukiwa Mbea unaitwa mwanamke.

Natoa USD 1,000 mtu yeyote aende BRELA akaniambie S.F Holdings ni kampuni namba ngapi (usajili) maana NAAMINI na NAJUA hakuna kampuni inayoitwa S.F Holdings ambayo inamilikiwa na Huyo mbunge wa KIBAHA.

Kwahiyo basi nathibitisha hajaongeza mtaji kwa kisichokuwepo!

Ndugu yangu kama huyu Mbunge alikuacha pole sana mbembeleze akurudie inaelekea unampenda sana mpaka unamtungia UONGO
Mkuu wangu taratibu. Yaani unasema kwa kinywa kipana kwamba S.F. Holdings siyo yake? Sema tena kwamba Mr. Price siyo sehemu ya S.F Holdings ambayo anaimiliki? Sema tena kwamba S.F holdings haimiliki shamba la kuku chini ya kampuni moja hivi. Sema tena kwamba hana kampuni inayolisha kwenye migodi. Hayo tu
 
Mzee wa Segerea, kunanukia ushindi kwa Mpendazoe? ushindi wake umeupa asilimia ngapi? Kama ikitokea hivyo basi kaa tayari kwa kulipishwa kodi ya kichwa kwa ajili ya maendeleo ya nchi kwa kuwa kwa ajili ya kugharamia uchaguzi nchi itabaki mifupa mitupuhttps://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/A S 13.gif.

Mkuu demokrasia ina gharama na gharama zake ndiyo hizo. Wacha tulipishwe kodi kwa ajili ya chaguzi ndogo hadi siku tukijua kwamba uchaguzi unatakiwa usimamiwe kwa haki bin haki. Hadi siku ambayo tutakubaliana kwamba mshindi atangazwe mshindi na mshindwa asitangazwe mshindi. Hadi siku ambayo tutajiwekea utaratibu kwamba mtu aliyemtangazwa mshindwa kuwa mshindi na ushindi ukatenguliwa basi awe personally responsible kuingia mfukoni mwake ili kugharimia uchaguzi mdogo.
 
Wale wale, Million 100 kwa Ma-rope kwa kushinda kupitishwa na CCM ubunge, na 50 zingine kwa Ma-robe ili awe Waziri. Sasa Ma-rope anatembelea majengo ya kina Mwamvita alipowekeza yeye analalama nini?
 
Kuna uwezekano mkubwa wa kutangazwa nafasi wazi nafasi ya Ubunge ya Jimbo la Kibaha Mjini kufuatia kukinai kwa Mbunge aliyepo,Silvestry Koka-CCM.Mbunge huyo amekaririwa mara kwa mara akijuta kugombea na kupewa ushindi dhidi ya aliyekuwa mpinzani wake,Habib Mchange-CHADEMA.Koka anadai kuwa muda wa kusimamia biashara zake unakosekana na hivyo anapata hasara kubwa.

Mimi uchaguzi ambao najua unanukia kama pafyumu ya Beyonce ni wa jimbo la Gairo. Mbunge wa jimbo hili anasema biashara zake za mabasi zinadidimia kwasababu ya kutumia muda wake mwingi mjengoni Dodoma.

Ndio tatizo la wafanyabiashara kujiingiza kwenye siasa. Acha biashara zao zidode.
 
Back
Top Bottom