FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 733
Yatakutoka mengi na matusi mengi mimi binafsi hayanipati; kwani mtu hayo matusi yote yanakurudia mwenyewe sipo hapa kwa ajili ya kutukana mimi ni mtu mzima mwenye familiya na heshima zangu. Hunijui na mimi sikujui tafadhari changia mada kama huna la kuchangia nenda ukalale.
JF siyo sehemu ya watoto kuja kucheza mdako na kombolela watu wenye heshima zao wanachangia mada hapa.
Rekebisha tabia yako kuwa mstaarabu hatupo kijiweni hapa au kwenye mpira wa chandimu.
Tafadhari sana sijakutukana katika hoja zangu zote na wewe naomba jiheshimu kijana.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Ahahah sasa nimetukana wapi? Inaelekea unapenda umbea na wewe ni mwanaume.
Mbunge wa Kibaha hana kampuni inayoitwa S.F Holdings!!
Period!
Huo ndo ukweli. Na nimeahidi Dola elfu moja ukileta namba ya usajili yenye jina la S.F Holdings na hisa yoyote humo ikiwa na jina la mbunge wa Kibaha.
Kama una familia na unajiheshimu acha UONGO ili uhushimike. La sivyo tutashindwa kujua kama bado inakuuma ndo maana umeamua kumtungia mwanaume mwenzio UONGO au la!!