hivi katika historia ya tanzania, kuna mbunge alishawahi kujiuzulu ubunge ?
rostam aziz
hivi katika historia ya tanzania, kuna mbunge alishawahi kujiuzulu ubunge ?
Huenda ni kweli kwa kuwa huyu bwana ana Makampuni kama kumi hivi!
Tatizo watanzania hatutofautishi kati ya kuchagua mbunge, kuchagua hela, na kuchagu mfadhili. Ndo maana tajiri akiingia ulingoni anapigiwa kura bila kujali kama ana muda wa kuwatumikia? Wenzangu waluguru wa Moro mjini mbunge wao yuko busy muda wote lakini ametenga basi moja bovu kusaidia kwenda kuzika, ole wao wamuombe asaidie kupeleka mgonjwa hospitali anawatoa baru. Eti kipaumbele ni kuzika na sio kuponya
Kuna uwezekano mkubwa wa kutangazwa nafasi wazi nafasi ya Ubunge ya Jimbo la Kibaha Mjini kufuatia kukinai kwa Mbunge aliyepo,Silvestry Koka-CCM.Mbunge huyo amekaririwa mara kwa mara akijuta kugombea na kupewa ushindi dhidi ya aliyekuwa mpinzani wake,Habib Mchange-CHADEMA.Koka anadai kuwa muda wa kusimamia biashara zake unakosekana na hivyo anapata hasara kubwa.
Sitajihusisha na swali la 'source' kwakuwa hamnijui siwajui...kila mtu humu JF ana wadhifa/nafasi yake hapa nchini.Mimi ni mpiga kura wa Ubungo ila naishi Kibaha.Kaeni chonjo..
Hivi katika historia ya Tanzania, kuna Mbunge alishawahi kujiuzulu Ubunge ?
Mimi uchaguzi ambao najua unanukia kama pafyumu ya Beyonce ni wa jimbo la Gairo. Mbunge wa jimbo hili anasema biashara zake za mabasi zinadidimia kwasababu ya kutumia muda wake mwingi mjengoni Dodoma.
Kuna uwezekano mkubwa wa kutangazwa nafasi wazi nafasi ya Ubunge ya Jimbo la Kibaha Mjini kufuatia kukinai kwa Mbunge aliyepo,Silvestry Koka-CCM.Mbunge huyo amekaririwa mara kwa mara akijuta kugombea na kupewa ushindi dhidi ya aliyekuwa mpinzani wake,Habib Mchange-CHADEMA.Koka anadai kuwa muda wa kusimamia biashara zake unakosekana na hivyo anapata hasara kubwa.
Sitajihusisha na swali la 'source' kwakuwa hamnijui siwajui...kila mtu humu JF ana wadhifa/nafasi yake hapa nchini.Mimi ni mpiga kura wa Ubungo ila naishi Kibaha.Kaeni chonjo..
Lugha yako inafanana na ya wafuasi wa chama kikuu cha upinzani.
Fisi alisubiri sana mkono wa binadamu kuondoka hadi leo
Mie nahisi wewe ulikua unafikiri ana Cameroon sasa ulivyogundua ukamuona ana dharau. Dharau ni subjective factor, wabongo tumezoea kuomba omba sasa mtu akiwa serious basi ana dharau. Mie namfahamu huyu bwana miaka mingi na ni mtu serious sana kwa biashara na maisha, hanaga dharau hata kidogo na zaidi utakutana anapiga story na hata mtu wa chini kidogo. Pia sio kweli kua ana makapuni kumi!! Jamani acheni udaku. PIA NATHIBITISHA KUWA HANA MPANGO WA KUJIUZULU!! nimeona nithibitishe kwa herufi kubwa maana mtu mwanaume mzima wa sura anaandika maneno utafikiri ndani yupo tofauti! Tusiigeuze JF kuwa kama magazeti PENDWA jamani. Ni hayo kwa leoMimi binafsi nilicheka sana siku nilipofahamu kuwa S. KOKA ni mbunge!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kwa jinsi ninavyomfehemu yule kwanza hawezi kabisa kuongoza jimbo. NA ANA DHARAU KUPITA MAELEZO!!!!!!! Sijui hata hao wa Kibaha aliwahonga nini hata wakamchagua. Kweli nimeamini ukitaka uongozi pitia CCM. Hata IDD AMIN AKIFUFUKA LEO AKITAKA URAISI TANZANIA = NJIA NI CCM TU anaPATA KIUUUUULAINI!!!!!!!!!!!!!!! MAANA CCM IMEKUWA KAMA CHOO CHA KULIPIA INAANGALIWA PESA YAKO TU!!!!!!! MIZAMBWA INANIUMA SANA!!!
Hivi katika historia ya Tanzania, kuna Mbunge alishawahi kujiuzulu Ubunge ?
Atajuta KIBA kura ndo nini wewe? Jifunze kuandika kabla ya kusema uongo maana lile shamba linafanya kazi.Huyu bwana ana eneo moja alikuwa na miradi ya kuku na bustani pamoja na biashara zingine hapa Golani matete, kwa sasa baada ya kupata ubunge eneo hili limekuwa ni kama pori hakuna anayepaangalia, sis majirani zake ametuwekea pori yaani ni shida tu. hii itakuwa ni kweli anafilisika, alicho kifuata ndicho sio, atajuta kiba kura, na bado hadi aseme yote
Rostam Azizi wa IgungaHivi katika historia ya Tanzania, kuna Mbunge alishawahi kujiuzulu Ubunge ?
Unanukia kama yale mafuta ya mkebe ya AYU au kama sabuni za REXONA.
Huenda amebaki na ile biashara ya kulisha migodi!Huyu bwana ana eneo moja alikuwa na miradi ya kuku na bustani pamoja na biashara zingine hapa Golani matete, kwa sasa baada ya kupata ubunge eneo hili limekuwa ni kama pori hakuna anayepaangalia, sis majirani zake ametuwekea pori yaani ni shida tu. hii itakuwa ni kweli anafilisika, alicho kifuata ndicho sio,
atajuta kiba kura, na bado hadi aseme yote
Kuna uwezekano mkubwa wa kutangazwa nafasi wazi nafasi ya Ubunge ya Jimbo la Kibaha Mjini kufuatia kukinai kwa Mbunge aliyepo,Silvestry Koka-CCM.Mbunge huyo amekaririwa mara kwa mara akijuta kugombea na kupewa ushindi dhidi ya aliyekuwa mpinzani wake,Habib Mchange-CHADEMA.Koka anadai kuwa muda wa kusimamia biashara zake unakosekana na hivyo anapata hasara kubwa.
Sitajihusisha na swali la 'source' kwakuwa hamnijui siwajui...kila mtu humu JF ana wadhifa/nafasi yake hapa nchini.Mimi ni mpiga kura wa Ubungo ila naishi Kibaha.Kaeni chonjo..
Makampuni kumi????????????????
Ama kweli ufisadi ulishatandaga kitambo!
Mtu mmoja makampuni kumi kweli hii ndiyo Tanzania yetu!
Sidhani kama ataachia ngazi, kwa jinsi alivyotumia gharama kubwa na uchakachuaji alafu leo kirahisi tuu!
Kaswali kagumu hako! Huenda ikawa incorporated kwenye Katiba Mpya kwani sijasikia tena habari hiyo!bora kuvuja kwa pakacha.....
hivi kikwete na ule mpango wake wa kutenganisha siasa na biashara ulishia wapi? au amegundua kwapa na mkono haviwezi kutengana?