Ngwala ya kwanza ni mliyemuunga mkono kufutiwa ushindi tena kwa aibu kubwa ya kuiba kura. Maneno yote ya Jubilee kuwa NASA walikuwa na kituo cha kuchakachua matokeo Tanzania ilikuwa ni janja tu, waliokuwa na fake talling center ni wao na ndiyo ujinga Chadema mlitaka kufanya kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 nakumbuka kwenye lile genge walikuwemo wakenya.
Ngwala ya pili ni haya mayowe kuwa Uhuru Kenyatta anapaswa kuigwa kwenye demokrasia eti kwa sababu alikubali shauri la NASA kuhusu matokeo ya urais kusikilizwa na Mahakama. Mayoywe ya kipuuzi kabisa na ya.kinafiki. Kama ndivyo anawatishia majaji kwanini? Uamuzi wa Uhuru kukubali shauri hilo kusikilizwa. hauna tofauti na uamuzi wa Lowassa kujiuzulu kutokana na kashfa ya RICHMOND, alishinikizwa, Uhuru kashinikizwa ndiyo maana analalama. Lowassa hataacha kulalama hadi anakwenda kaburini.
Mfumo wa.kisiasa.Kenya.unatufundisha jambo moja kubwa kwamba tume huru na katiba mpya ni. Jambo. Moja. Na kkumpata kiongozi wa . Kuyatii na kuyasimamia hayo . Ni jambo. Lingine.
Hivi. Mkurugenzi wa ict wa tume ya uchaguzi anauawawa tena siku nane kabla ya uchaguzi halafu mambo. Yanaisha kama. Vile. Kafa. Mbwa halafu. Mnasema.kenya.kuna.demokrasia, uhuru anahesjimu. Demokrasia? Aibu, aibu,. Aibu kubwa.
Mlimuunga mkono akaiba akatangazwa mshindi mkafurahi, mahakama ikatengua matokeo mkamgeuka na kuwa upande wa raila na mahakama, leo anaitishia mahakama mmekaa kimya tuwaeleweje? Baada ya. Kuona kwa kushangilia maamuzi ya mahakama mmeboronga na mtamuudhi, mmeamua kwenda kupiga kwmbi nairobi, mkimsifia na kuishambuli serikali yenu, yote hayo kujikosha.aibu aibu, aibu