Uchaguzi - Kenya: CHADEMA mmepigwa gwala mbili takatifu, yote mnayosema ni maneno ya mfa maji tu

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
IMG_20170920_161357.jpg

Ngwala ya kwanza ni mliyemuunga mkono kufutiwa ushindi tena kwa aibu kubwa ya kuiba kura. Maneno yote ya Jubilee kuwa NASA walikuwa na kituo cha kuchakachua matokeo Tanzania ilikuwa ni janja tu, waliokuwa na fake talling center ni wao na ndiyo ujinga Chadema mlitaka kufanya kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 nakumbuka kwenye lile genge walikuwemo wakenya.

Ngwala ya pili ni haya mayowe kuwa Uhuru Kenyatta anapaswa kuigwa kwenye demokrasia eti kwa sababu alikubali shauri la NASA kuhusu matokeo ya urais kusikilizwa na Mahakama. Mayoywe ya kipuuzi kabisa na ya.kinafiki. Kama ndivyo anawatishia majaji kwanini? Uamuzi wa Uhuru kukubali shauri hilo kusikilizwa. hauna tofauti na uamuzi wa Lowassa kujiuzulu kutokana na kashfa ya RICHMOND, alishinikizwa, Uhuru kashinikizwa ndiyo maana analalama. Lowassa hataacha kulalama hadi anakwenda kaburini.

Mfumo wa.kisiasa.Kenya.unatufundisha jambo moja kubwa kwamba tume huru na katiba mpya ni. Jambo. Moja. Na kkumpata kiongozi wa . Kuyatii na kuyasimamia hayo . Ni jambo. Lingine.

Hivi. Mkurugenzi wa ict wa tume ya uchaguzi anauawawa tena siku nane kabla ya uchaguzi halafu mambo. Yanaisha kama. Vile. Kafa. Mbwa halafu. Mnasema.kenya.kuna.demokrasia, uhuru anahesjimu. Demokrasia? Aibu, aibu,. Aibu kubwa.

Mlimuunga mkono akaiba akatangazwa mshindi mkafurahi, mahakama ikatengua matokeo mkamgeuka na kuwa upande wa raila na mahakama, leo anaitishia mahakama mmekaa kimya tuwaeleweje? Baada ya. Kuona kwa kushangilia maamuzi ya mahakama mmeboronga na mtamuudhi, mmeamua kwenda kupiga kwmbi nairobi, mkimsifia na kuishambuli serikali yenu, yote hayo kujikosha.aibu aibu, aibu
 
Ngwala ya kwanza ni mliyemuunga mkono kufutiwa ushindi tena kwa aibu kubwa ya kuiba kura. Maneno yote ya Jubilee kuwa NASA walikuwa na kituo cha kuchakachua matokeo Tanzania ilikuwa ni janja tu, waliokuwa na fake talling center ni wao na ndiyo ujinga Chadema mlitaka kufanya kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 nakumbuka kwenye lile genge walikuwemo wakenya. Ngwala ya pili ni haya mayowe kuwa Uhuru Kenyatta anapaswa kuigwa kwenye demokrasia eti kwa sababu alikubali shauri la NASA kuhusu matokeo ya urais kusikilizwa na Mahakama. Mayoywe ya kipuuzi kabisa na ya.kinafiki. Kama ndivyo anawatishia majaji kwanini? Uamuzi wa Uhuru kukubali shauri hilo kusikilizwa. hauna tofauti na uamuzi wa Lowassa kujiuzulu kutokana na kashfa ya RICHMOND, alishinikizwa, Uhuru kashinikizwa ndiyo maana analalama. Lowassa hataacha kulalama hadi anakwenda kaburini.

Mfumo wa.kisiasa.Kenya.unatufundisha jambo moja kubwa kwamba TUME HURU NA KATIBA MPYA NI. JAMBO. MOJA. NA KKUMOATA KIONGOZI WA . KUYATII NA KUYASIMAMIA HAYO . NI JAMBO. LINGINE.
HIVI. MKURUGENZI WA ICT WA TUME YA UCHAGUZI ANAUAWAWA TENA SIKU NANE KABLA YA UCHAGUZI HALAFU MAMBO. YANAISHA KAMA. VILE. KAFA. MBWA HALAFU. MNASEMA.KENYA.KUNA.DEMOKRASIA, UHURU ANAHESJIMU. DEMOKRASIA? AIBU, AIBU,. AIBU KUBWA.
MLIMUUNGA MKONO AKAIBA AKATANGAZWA MSHINDI MKAFURAHI, MAHAKAMA IKATENGUA MATOKEO MKAMGEUKA NA KUWA UPANDE WA RAILA NA MAHAKAMA, LEO ANAITISHIA MAHAKAMA MMEKAA KIMYA TUWAELEWEJE? BAADA YA. KUONA KWA KUSHANGILIA MAAMUZI YA MAHAKAMA MMEBORONGA NA MTAMUUDHI, MMEAMUA KWENDA KUPIGA KWMBI NAIROBI, MKIMSIFIA NA KUISHAMBULI SERIKALI YENU, YOTE HAYO KUJIKOSHA.AIBU AIBU, AIBU
:eek:
 
Thread ya kufikirika!!!!!
 
Albadirl haijawaacha salama,mnaweweseka mtakuja kufa midomo mkipanua mainzi tupu.
Ukoo wa panya na Smg!
 
Hii niliona jana kwenye Citizen nipashe taarifa ya habari....CJ Maraga alikuwa anaishutumu serikali ya Jubilee kwa kuwatisha Majaji na IGP kuwanyima Ulinzi. Ilinishangaza kwa kweli na hizi kelele kuhusu Kenya ni nchi ya Demokrasia na suala zima la Katiba Mpya.
Time Will Tell. Ila kwa hili nafikiri Jubilee wana wajibu wa kutoa maelezo kamili.
Ukimsikiliza Rais U.K na kauli anazotoa kwenye mikutano yake ni dhahiri kuwa amekasirishwa na maamuzi ya Judiciary.....haswa alipowaita Majaji WAKORA.
 
Thread nyingine bhana, mmghhhh
Kenyatta alichemka kuwachukua chadema kama consultant wake wa kisiasa kwa mkakati ambao ulishindwa kufanya kazi Tanzania huo wa kutumia mitambo ya komputa ya kuchakachua .Yaani wakenya akina Kenyatta na vingereza vyao vyote kweli wawachukue chadema waliojaa kiingereza kilichofurika maneno ya actually kuwa wadhauri wao. Usomi wa wakenya uko wapi? Kenyatta alikosea kuwachukua chadema ajue kuwa wananunulika ni wepesi sana kusaliti na kubadili upande wakipata hela. Hivyo Kama kuna watu wa NASA waliwagawia hela hao chadema unaowaamini ndio watakuwa waliwapa NASA siri zote kuhusu huo uchakachuaji na NASA wakapata pa kumbwaga Kenyatta. Chadema hawaaminiki waliimba lowasa fisadi miaka kibao. Ghafla alipowakatia pesa wakageuka kumsifu. Kenyatta alikosea kuwaingiza chadema jikoni wao hapendwi mtu ni pesa tu. Hawamuungi mkono Kenyatta wanaiunga mkono pesa Ya Kenyatta ikitokea Ya Raila kubwa wanahama kwa Kenyatta.Kenyatta hakutakiwa kuhusisha wa TZ double dealers wa Chadema kwenye siasa zake.
 
Kenyatta alichemka kuwachukua chadema kama consultant wake wa kisiasa kwa mkakati ambao ulishindwa kufanya kazi Tanzania huo wa kutumia mitambo ya komputa ya kuchakachua .Yaani wakenya akina Kenyatta na vingereza vyao vyote kweli wawachukue chadema waliojaa kiingereza kilichofurika maneno ya actually kuwa wadhauri wao. Usomi wa wakenya uko wapi? Kenyatta alikosea kuwachukua chadema ajue kuwa wananunulika ni wepesi sana kusaliti na kubadili upande wakipata hela. Hivyo Kama kuna watu wa NASA waliwagawia hela hao chadema unaowaamini ndio watakuwa waliwapa NASA siri zote kuhusu huo uchakachuaji na NASA wakapata pa kumbwaga Kenyatta. Chadema hawaaminiki waliimba lowasa fisadi miaka kibao. Ghafla alipowakatia pesa wakageuka kumsifu. Kenyatta alikosea kuwaingiza chadema jikoni wao hapendwi mtu ni pesa tu. Hawamuungi mkono Kenyatta wanaiunga mkono pesa Ya Kenyatta ikitokea Ya Raila kubwa wanahama kwa Kenyatta
Too late, usiongozwe na hisia na mapenzi
 
Hao jamaa ni wanafiki na Wa ajabu kweli chama cha upinzani kuunga mkono kwenye uchaguzi chama tawala ni ajabu ya mwaka na kufurahia usiginwaji Wa democrasia ya wapinzani wenzao kisa eti mgombea upinzani naa urafiki na Rais wa chama cha ccm....kwa hiyo JPM hatakiwi kuwa na marafiki nje ya nchi ....haijawahi tokea tangia EAC imeanzishwa mi nnachojua huwa upinzani wanasaidiana kutetea democrasia dhidi ya chama tawala...
 
Hii niliona jana kwenye Citizen nipashe taarifa ya habari....CJ Maraga alikuwa anaishutumu serikali ya Jubilee kwa kuwatisha Majaji na IGP kuwanyima Ulinzi. Ilinishangaza kwa kweli na hizi kelele kuhusu Kenya ni nchi ya Demokrasia na suala zima la Katiba Mpya.
Time Will Tell. Ila kwa hili nafikiri Jubilee wana wajibu wa kutoa maelezo kamili.
Ukimsikiliza Rais U.K na kauli anazotoa kwenye mikutano yake ni dhahiri kuwa amekasirishwa na maamuzi ya Judiciary.....haswa alipowaita Majaji WAKORA.
Mimi mtu yeyote anayemsifia Uhuru kuwa ni mwana demokrasia namuona mwendawazimu namba moja
 
Chadema ni double dealers uhuru Kenyatta beware.usjiachie Sana kifuani kwa Miss chadema utanyolewa nywele za nguvu zako Kama Samson wa biblia
Mwisho wa kuwaza, umeamua kutumia naniliu sasa
 
View attachment 592242
Ngwala ya kwanza ni mliyemuunga mkono kufutiwa ushindi tena kwa aibu kubwa ya kuiba kura. Maneno yote ya Jubilee kuwa NASA walikuwa na kituo cha kuchakachua matokeo Tanzania ilikuwa ni janja tu, waliokuwa na fake talling center ni wao na ndiyo ujinga Chadema mlitaka kufanya kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 nakumbuka kwenye lile genge walikuwemo wakenya...
Hawa jamaa waliingia "choo cha kike".
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom