Uchaguzi - Kenya: CHADEMA mmepigwa gwala mbili takatifu, yote mnayosema ni maneno ya mfa maji tu

Nenda shule,hivi kwanini unakuwa na kaelimu kakukariri halafu unaongea vitu vya kijinga mbele ya wanaume?
 
Hao jamaa ni wanafiki na Wa ajabu kweli chama cha upinzani kuunga mkono kwenye uchaguzi chama tawala ni ajabu ya mwaka na kufurahia usiginwaji Wa democrasia ya wapinzani wenzao kisa eti mgombea upinzani naa urafiki na Rais wa chama cha ccm....kwa hiyo JPM hatakiwi kuwa na marafiki nje ya nchi ....haijawahi tokea tangia EAC imeanzishwa mi nnachojua huwa upinzani wanasaidiana kutetea democrasia dhidi ya chama tawala...
Raila kampeni yote ya magufuli hakuwahi simama jukwaani Tanzania kumnadi magufuli na chama chake cha NASA hawajawahi tangaza popote kuwa wanamuunga mkono magufuli Kama chama lakini chadema walienda Kama chama kenya
 
Umesema kweli kwa kiasi, ila walau wao wako mbele kidogo
Niambie TZ mahakama gani inaweza thubutu hilo kupitia kesi. Ingawa hata haliruhusiwi. Hilo tu linatosha kuconclude walau wako mbele kidogo. Hayo matukio mengine ya wizi wa kura tunafanana
 
hawa vinyonga wa ufipa wanaboa sana.
Yaani hata hawajijui waliendesha kampeni kuwa kuna tallying centre Tanzania arusha wakawaaminisha wakenya kesi ilipoanza kuunguruma tume ya uchaguzi Ya Kenya ilijiuma umma baadaye ikatamka wazi mahakamani kuwa tallying centre yao ya tume iko paris ufaransa!!!!
 
View attachment 592242
Ngwala ya kwanza ni mliyemuunga mkono kufutiwa ushindi tena kwa aibu kubwa ya kuiba kura. Maneno yote ya Jubilee kuwa NASA walikuwa na kituo cha kuchakachua matokeo Tanzania ilikuwa ni janja tu, waliokuwa na fake talling center ni wao na ndiyo ujinga Chadema mlitaka kufanya kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 nakumbuka kwenye lile genge walikuwemo wakenya.

Ngwala ya pili ni haya mayowe kuwa Uhuru Kenyatta anapaswa kuigwa kwenye demokrasia eti kwa sababu alikubali shauri la NASA kuhusu matokeo ya urais kusikilizwa na Mahakama. Mayoywe ya kipuuzi kabisa na ya.kinafiki. Kama ndivyo anawatishia majaji kwanini? Uamuzi wa Uhuru kukubali shauri hilo kusikilizwa. hauna tofauti na uamuzi wa Lowassa kujiuzulu kutokana na kashfa ya RICHMOND, alishinikizwa, Uhuru kashinikizwa ndiyo maana analalama. Lowassa hataacha kulalama hadi anakwenda kaburini.

Mfumo wa.kisiasa.Kenya.unatufundisha jambo moja kubwa kwamba tume huru na katiba mpya ni. Jambo. Moja. Na kkumpata kiongozi wa . Kuyatii na kuyasimamia hayo . Ni jambo. Lingine.

Hivi. Mkurugenzi wa ict wa tume ya uchaguzi anauawawa tena siku nane kabla ya uchaguzi halafu mambo. Yanaisha kama. Vile. Kafa. Mbwa halafu. Mnasema.kenya.kuna.demokrasia, uhuru anahesjimu. Demokrasia? Aibu, aibu,. Aibu kubwa.

Mlimuunga mkono akaiba akatangazwa mshindi mkafurahi, mahakama ikatengua matokeo mkamgeuka na kuwa upande wa raila na mahakama, leo anaitishia mahakama mmekaa kimya tuwaeleweje? Baada ya. Kuona kwa kushangilia maamuzi ya mahakama mmeboronga na mtamuudhi, mmeamua kwenda kupiga kwmbi nairobi, mkimsifia na kuishambuli serikali yenu, yote hayo kujikosha.aibu aibu, aibu[/QUOT Hivi Zanzibar chama cha makinikia kilikuwa na taalling center ndiyo maana jecha alifuta matokeo halali?,,,,,
 
Wana support chama kilichomuua mtaalamu wa ICT ila chadema wamekaa kimya au watavyoenda UN watahusisha na la MSANDO?
 
Mwenye kutumia akili hawa jamaa atawashtukia tu, wanavowaaminisha watu na walivo tofauti.
 
Back
Top Bottom