Elections 2010 Uchaguzi igunga; CCM kuibuka kidedea

Wewe ni mpiga ramli! ni kitu gani kitaifanya ccm ipate ushindi huo kwa wana Igunga? leo hii watu wameamka sio wakati wa alua na T-shirt za klijani! Hebu tuwaachie watu wa Igunga wafanye maaamuzi wao wenyewe---------
 
wana JF haya ni maoni yangu na ninafikiri ndio utakaokuwa ukweli wenyewe; kutokana na nguvu kubwa waliotumia chama tawala ccm katika uchaguzi mdogo wa Igunga, kwa maoni yangu mimi chama cha mapinduzi (ccm) kitaibuka kidedea katika uchaguzi huu. kwa mantiki hiyo natabiri kuwa matokea yatakuwa kama ifuatavyo:

1. Mgombea wa CCM atapata= 67%

2. Mgombea wa CUF atapata= 23%

3. Mgombea wa CHADEMA atapata= 8%

4. Wagombea wa vyama vingine watapata kwa ujumla wao = 2%

HONGERA SANA CCM!!! PLOLENI SANA MAGWANDA KWA KULIZWA KWA MARA NYINGINE TENA!

Hii post mods hawajaiona nini?!! manake mie kusema "kwa picha ninazoziona ch10, CHADEMA kwishaaaa!", mods wameiondoa hiyo post!!!!!! nimejaribu kuisoma zaidi ya mara kumi huku nikiangalia na lugha niliyotumia lakini bado cjaona kilichowafanya waheshiwa hawa waiondoe hiyo post!!! Kama NEC wanatakiwa kupunguziwa madaraka basi wa mwanzo wanaotakiwa kujipunguzia madaraka ni mods wa JF!
 
Kwa kuchakachua na kupiga watu mabomu ya machozi na hata kuua na kisha kunyakua masanduku ya kura kwa nguvu na kukimbia nayo ndivyo itakavyokuwa! Tofauti ya hapo, hiyo 67% ni ya Chadema!

Kihalali CHADEMA WAMESHASHINDA KWA %60 zilizobaki wanagawana wanandoa.
 
Hii post mods hawajaiona nini?!! manake mie kusema "kwa picha ninazoziona ch10, CHADEMA kwishaaaa!", mods wameiondoa hiyo post!!!!!! nimejaribu kuisoma zaidi ya mara kumi huku nikiangalia na lugha niliyotumia lakini bado cjaona kilichowafanya waheshiwa hawa waiondoe hiyo post!!! Kama NEC wanatakiwa kupunguziwa madaraka basi wa mwanzo wanaotakiwa kujipunguzia madaraka ni mods wa JF!

We ni juha kabisa picha ulizoziona wapiga kura wamevaa kofia za kijani?
 
heading na story havina coordination kabisa

Mtoa mada utadhani ni mwandishi wa habari? Anajitahidi kutengeneza heading ili kushawishi watu kusoma habari yake. Nafikiri hapa JF unawakilisha kitu kama kilivyo watu wanajadili.
Kuhusu mada ni sawa kama Mh. alivyokuwa nasema maana ni kampeni, na alitakiwa kuvutia kwake. Kwani ulitaka aseme CCM itashindwa kwa hiyo wawe tayari kwa matokeo?
 
Back
Top Bottom