Uchaguzi huu tujifunze kupitia kupitia Guinea!

Uchaguzi huu tujifunze kupitia kupitia Guinea!

Mugisher

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
411
Reaction score
360
Kushindwa kwa wapinzani kumeanza rasmi kule Guinea kwa Conde kushinda kwa kishindo.

Mafuriko ya wapinzani wake hayakuwa lolote kumzuia Conde kupata ushindi. Kama mnavyokumbuka hawa wenzetu CHADEMA waliiba picha za mafuriko ya Guinea na kudai ni campaign za Lowassa kule Arusha.

Sasa hili soma tosha. Mafuriko bila kupiga kura si lolote. Ushindi uko karibu wana wamungu CCM. Msiwe ha shaka, msibabaike, msiogope, tulieni, pigeni kura na kwenda kulala nyumbani.
 
Kushindwa kwa wapinzani kumeanza rasmi kule Guinea kwa Conde kushinda kwa kishindo. Mafuriko ya wapinzani wake hayakuwa lolote kumzuia Conde kupata ushindi. Kama mnavyokumbuka hawa wenzetu wanywa viroba Chadema waliiba picha za mafuriko ya Guinea na kudai ni campaign za Mgonjwa Lowasa kule Arusha. Sasa hili in soma tosha. Mafuriko bila kupiga kura si lolote. Ushindi uko karibu wana wamungu CCM. Msiwe ha shaka, msibabaike, msiogope, tulieni, pigeni kura na kwenda kulala nyumbani.
We jifariji gueine si Tanzania , we subiri kipigo kikali mno tarehe 25/10. Tusilaumiane ukifa kwa kihoro.
 
Kushindwa kwa wapinzani kumeanza rasmi kule Guinea kwa Conde kushinda kwa kishindo. Mafuriko ya wapinzani wake hayakuwa lolote kumzuia Conde kupata ushindi. Kama mnavyokumbuka hawa wenzetu wanywa viroba Chadema waliiba picha za mafuriko ya Guinea na kudai ni campaign za Mgonjwa Lowasa kule Arusha. Sasa hili in soma tosha. Mafuriko bila kupiga kura si lolote. Ushindi uko karibu wana wamungu CCM. Msiwe ha shaka, msibabaike, msiogope, tulieni, pigeni kura na kwenda kulala nyumbani.

Bila shaka mavi yamekubana nenda kanye kwanza...lowasa mgonjwa anakufa kesho ila akina filikunjombe wazima wataishi milele!!acha us**£%%ng…€!!
 
Kushindwa kwa wapinzani kumeanza rasmi kule Guinea kwa Conde kushinda kwa kishindo. Mafuriko ya wapinzani wake hayakuwa lolote kumzuia Conde kupata ushindi. Kama mnavyokumbuka hawa wenzetu wanywa viroba Chadema waliiba picha za mafuriko ya Guinea na kudai ni campaign za Mgonjwa Lowasa kule Arusha. Sasa hili in soma tosha. Mafuriko bila kupiga kura si lolote. Ushindi uko karibu wana wamungu CCM. Msiwe ha shaka, msibabaike, msiogope, tulieni, pigeni kura na kwenda kulala nyumbani.[/QUOTe
Asante Mwenyezi Mungu kwa kuwa huyu mleta mada ameamua kuhukumu watu kwa maradhi yao.Mtu huyu anajiona yupo salama sana kiasi cha kuwapa watu status like mgonjwa .....naamini kabisa Wewe Muumba ndo mtoaji na mchukuaji,pia unanyesha mvua kwa muovu na mwema.pia wewe sio mbaguzi hata kidogo japo uliowaleta duniani hapa wamekuwa na roho kutu ya ubaguzi na unyanyapaa.Ee Mola msamehe huyu mtu na pia mpe kutubu,siasa isimfanye awe roho ya tofauti na uliyotuumbia Baba
 
Kushindwa kwa wapinzani kumeanza rasmi kule Guinea kwa Conde kushinda kwa kishindo. Mafuriko ya wapinzani wake hayakuwa lolote kumzuia Conde kupata ushindi. Kama mnavyokumbuka hawa wenzetu wanywa viroba Chadema waliiba picha za mafuriko ya Guinea na kudai ni campaign za Mgonjwa Lowasa kule Arusha. Sasa hili in soma tosha. Mafuriko bila kupiga kura si lolote. Ushindi uko karibu wana wamungu CCM. Msiwe ha shaka, msibabaike, msiogope, tulieni, pigeni kura na kwenda kulala nyumbani.

ushabiki wa matusi ni kitu kibaya sana....pengine hata hufahamu historia yake.........
Alpha Conde: from jailed opposition leader to president
 
Conde mbona alikua ni mpinzani. ccm inekusanya vilaza sana. utafikiri yana kono kono kichwani.
 
akili yako ni kama genge lenu. Kwa hiyo Lowasa akishinda ni kama CCM imeshinda kwakuwa tu alikuwa huko?

...naamini ni ushabiki tu ndio unakusumbua....
kwa nini kushindwa chama kimoja Guinea ukimithilishe na hapa..ilhali hutaki kujua alipotoka/historia ya Conde?
unataka ''if...then'' iapply inaposuit matwaka yako....?
 
sijui logic yenu hapa ni nini? Kama alitoka upinzani yeye ni mtawala aliyemaliza muda wake na alikuwa na upinzani mkubwa tu.

umeshindwa kujitambua huyo unayemshangilia kutetea kiti chake hata yeye alitokea upinzani unaoutolea maneno ya kashfa,dhihaka na kejeli........
....umeshidwa kung`amua kwamba,at one time,hata hao ''wapinzani' walioshindwa walikuwa watawala..
 
Back
Top Bottom