Mie nafikiri ni tamaduni zetu,
Chukulia tu hata profesa wa ulaya mnapanda basi naye wasipokwambia huyu ni prof hutatambua. hii kitu ya kungangania ina misingi yake inabidi kuingoa kwanza sio swala la ukomavu wa demokrasia tu.
Nothing if you ask me!
Mkuu Kichuguu unafikiri uhusiano wa Hollande na mama Merkel wa Germany na Cameroon wa Britain utakuwaje.
Nadhani huenda usiwe mzuri ila itabidi wafanye kazi pamoja. Cameron mwenyewe yuko matatani huko nyumbani kwake kutokana na sera zile zile kama za Sarkozy. Mama Merkel yeye yuko stable kwa vile uchumi wa Ujerumani bado ni imara kutokana hasa na ubora wa bidhaa zao za viwandani; viwanda vyao havikuyumbishwa kabisa na viwnada vya China.
Suala la kuchukua hatua za kujibana au "Austerity measures" zinaumiza sana ukizingatia kwamba huduma kwa wananchi na msaada ambazo raia wamekuwa wakipata kama vile tax credits na baadhi ya social benefits kuwa zimekwatwa, kunasababisha watu hawa wawili(Sarkozy na Cameroon) kuwa matatani kwani wanakumbatia sana mafisadi.
Suala la kuchukua hatua za kujibana au "Austerity measures" zinaumiza sana ukizingatia kwamba huduma kwa wananchi na msaada ambazo raia wamekuwa wakipata kama vile tax credits na baadhi ya social benefits kuwa zimekwatwa, kunasababisha watu hawa wawili(Sarkozy na Cameroon) kuwa matatani kwani wanakumbatia sana mafisadi.
Hii ndiyo Republicans wanaipigia kelele itekelezwe. Walitaka Obama akubaliane nao ili wamwondoe jamaa akawaona mapema. Bila ya Stimulus Spending Dunia ingeingia kwenye great depression. Republicans are looting for economic failures. I hope Americans are not stupid. UK hivi sasa ipo kwenye kwenye double deep recession, Local election iliyofanyika wiki hii imeipatia Labour ushindi mkubwa sana England and Wales, Coalition wanahaha sasa.
Huwezi kumwambia Fabrice Muamba arudi uwanjani mapema ili msishuke daraja eti kwa kuwa tu ametoka hospitali, Waingereza walifanya kosa kubwa sana kuwapigia Conservatives na sasa wanajuta. I hope this Lesson will be learned in USA.
Euro in turmoil after the bigger partner was out-voted. What next for the currency? The market was very jittery last week and bad news to follow after the elections in Greece.
Do you think Tanzania should worry the Euro turmoil on handling her economy while she has an assumed BIG GUNS (China and Brazil) in hand ?
Hivi jamani wanaJF Tanzania ilituma waangalizi wa Uchaguzi huko Ufaransa?
Nadhani kuna mambo ya kujifunza mengi huko, kumtimua Rais ndani ya muhula mmoja sio jambo dogo ati
(a) Obama alikuwa ni mwepesi sana kusindwa ila Republican hawakuleta candidate wa kumshinda Obama; huyu Romney siyo candidate wa kumshinda Obama ingawa atakuwa na pesa nyingi sana mara kumi ya Obama. Kwa hiyo Obama yuko likely kushinda kirahisi sana iwapo hali ya uchumi itabaki kama ilivyo sasa. Obama ataweza kushindwa kutokana na mvurugano wa uchumi utakaotokea huko Ulaya baada ya uchaguzi huu na hivyo labda watu kupiga kura za hasira dhidi yake ila siyo kwa sababu ya kumpenda Romney.
(b) Iwapo Sarkozy kashindwa kwa sababu ya sera zake, basi hali hiyo itakuwa ni nzuri sana kwa Obama kwa vile sera za Sarkozy zilikuwa sana kabisa na zile zinazotumiwa na Republicans, na huyu mshindi amekuwa anaahadi sera zionazofanana za zile za Obama.
dah! jamaa Sarkhozy anabahati mbaya....Yaani katawala Mhula mmoja tu! Kuna siku nilikuwa naangalia Aljazeera Wafaransa walikuwa wakimuita THE MOST HATED PRAZDENT EVER TO HAPEN IN FRANCE!