Uchaguzi 2015 utaisha salama?

Uchaguzi 2015 utaisha salama?

Loool MK254 Kafrican pkjag Hoodla Juakali1980 Iconoclastes mwaswast falcon mombasa Hahahaha Kimweri geza MOTOCHINI jMali kadoda11 among others waje wasome hii Wanaongelea TZ Kama ni immune to anything loolThis is my first official comment on the Tanzanian side hehe kadoda11 was right the other side is officially getting lonely Hehe so back to topic MOTOCHINI??? Umesha soma pale juu
Sasa sam999 unashangilia mtu katoa anayo yahofia ktk fikra zake! lazima utambue huku si kenyan forums na kuna tukio kubwa tz mengi yatasemwa na kilamtu anafikra zake, tutapiga kura salama wasalimin
 
Last edited by a moderator:
Loool MK254 Kafrican pkjag Hoodla Juakali1980 Iconoclastes mwaswast falcon mombasa Hahahaha Kimweri geza MOTOCHINI jMali kadoda11 among others waje wasome hii

Wanaongelea TZ Kama ni immune to anything lool

This is my first official comment on the Tanzanian side hehe kadoda11 was right the other side is officially getting lonely

Hehe so back to topic MOTOCHINI??? Umesha soma pale juu
don't worry friend,we'll be back at kenyaforum early november after general election.
 
kama Nigeria kwa watukutu ulimalizika salama iweje Tanzania ishindwe ,cha muhimu pombe akishindwa ampigie Edo simu kumpongeza
 
Ninachokiona kwana watanzania tunapelekwa sana na mihemko - Na kikubwa Tume ya uchaguzi ndio inayoweza amua kama Tanzania tuingie kwenye machafuko ama tuvuke kwa amani _ Baado watanzania tunatakiwa kupunguza pressure tulionazo - Sijui hawa viongozi wanawezaje cheza na akili za watanzania - Kila uchao wanazidi punguza uelewa wawatanania hasa hasa vijana -
 
Sijui sheria ya cyber criminal inasemaje kuhusu mtu mwenye mawazo haya ya kipuuzi kabisa na ya kichochezi
 
Loool MK254 Kafrican pkjag Hoodla Juakali1980 Iconoclastes mwaswast falcon mombasa Hahahaha Kimweri geza MOTOCHINI jMali kadoda11 among others waje wasome hii

Wanaongelea TZ Kama ni immune to anything lool

This is my first official comment on the Tanzanian side hehe kadoda11 was right the other side is officially getting lonely

Hehe so back to topic MOTOCHINI??? Umesha soma pale juu

Huu uchaguzi naufatilia kwa umakini sana Watanzania wana jukumu kubwa kuwachagua viongozi ambao wanaweka maslahi ya Watanzania mbele. Ni Lowasa ama ni Magufuli?

cc Motochini, Sam999,Mk254, Kadoda11, Falcon mombasa, Geza Ulole and my pretty Faiza Foxxy.
 
Sijui tuhamie the other side......mi niko science & technology.
 
Loool MK254 Kafrican pkjag Hoodla Juakali1980 Iconoclastes mwaswast falcon mombasa Hahahaha Kimweri geza MOTOCHINI jMali kadoda11 among others waje wasome hii

Wanaongelea TZ Kama ni immune to anything lool

This is my first official comment on the Tanzanian side hehe kadoda11 was right the other side is officially getting lonely

Hehe so back to topic MOTOCHINI??? Umesha soma pale juu

Mabomu yapigwe na nani na kwa nini? Tumekuwa burundi? Hii habari inahitaji ufafanuzi zaidi, otherwise haina mashiko.
 
Huu uwoga wenu utawaponza, kila mtu atoke na kupiga kura. Kwetu Kenya huwa tunahakikisha lazima kila mtu aonyeshe wino kwenye kidole baada ya kupiga kura ili upate huduma. Huwa tunaamshana asubuhi na kupiga mayoye ya kila aina.
 
Back
Top Bottom