Muulize ZITTO kabwe ambaye alitaka mapendekezo ya ANDREW CHENGE ndiyo yatumike kwenye maazimio ya BUNGE. Muulize Kafulila ambaye leo anaibuka na kuwatetea Mapdre na Maaskofu kuwa hawqjqpewa pesa. Mkuu ESCROW haikuwa na jipya zaidi ya UKAWA kutaka kumrudisha ZITTO kundini na Mengi kutaka mbaya wake kwenye vitalu vya gesi aondolewe wizarani.watu walikuwa hawana haja na PMfunguka mkuu,inakuwaje hawa wafu wanatishia kuiangusha serikali mpaka inafikia hatua ya kuomba muafaka ili waziri mkuu asidondoshwe? inawezekana upinzani umekuwa mzimu ambao kwa imani zetu sisi washirikina wa msata,bagamoyo,mzimu huwa haufi