UCHAGUZI 2015: CCM dhaifu kisiasa, Kikwete mgonjwa hataweza kampeni, kashfa kila kona

funguka mkuu,inakuwaje hawa wafu wanatishia kuiangusha serikali mpaka inafikia hatua ya kuomba muafaka ili waziri mkuu asidondoshwe? inawezekana upinzani umekuwa mzimu ambao kwa imani zetu sisi washirikina wa msata,bagamoyo,mzimu huwa haufi
Muulize ZITTO kabwe ambaye alitaka mapendekezo ya ANDREW CHENGE ndiyo yatumike kwenye maazimio ya BUNGE. Muulize Kafulila ambaye leo anaibuka na kuwatetea Mapdre na Maaskofu kuwa hawqjqpewa pesa. Mkuu ESCROW haikuwa na jipya zaidi ya UKAWA kutaka kumrudisha ZITTO kundini na Mengi kutaka mbaya wake kwenye vitalu vya gesi aondolewe wizarani.watu walikuwa hawana haja na PM
 
Wangapi humu mmejiandikisha kupiga kura uchaguzi ujao wa serikali za Mitaa?

Swali la msingi......ukweli member wengi wa jf maneno Ni mengi kuliko matendo, Muda wa kushinda bar na smart phone huku wakijidanganya CCM imechoka ndicho wanachoweza.
 
Ingekuwa maneno ya mitandaoni yanaua chama CCM ingeshakufa kweli, wananchi ndiyo wanajua umuhimu wa CCM kuliko hiki chama cha REGINALD MENGI na MTEI
chama wezi na mafisadi wakubwa ccm nakuonea huruma sana kijana mdogo kama wewe kuendelea kuitetea serikali ya wafu wenzako ccm
 
Wamemwaibisha sana Mzee Mangula. Mzee mwenye maadili isiopingika. Kila akitoa mawazo yake kwa ajili ya kukinusuru Chama chetu wengi wanamgeuka na kukataa mawazo yake. CCM yatupasa tujisahihishe mbele ya wananchi. Wananchi wanaona, wanaelewa kinachoendelea na watakuja kutuhukumu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom