Uchaguzi 2010: Sauti ya wananchi iheshimiwe!

Waslaaam wananchi wote JF,

- Bado tunaendelea kutafakari kilichojiri kwenye huu uchaguzi wa wabunge na Rais, baada ya kuyasikiliza kwa makini sana matokeo:

- Inaonekana kwamba kuna ujumbe mzito sana wa wananchi kwa Rais aliyechaguliwa, kwamba wananchi wana imani naye sana, lakini wana tatizo kubwa sana na watendaji wake, hasa mawaziri na wakuu wa Mikoa/Wilaya. Ni matumaini yangu kwamba amewasikia wananchi na ataufanyia kazi ujumbe wao mzito sana waliomtumia kupitia kwenye kura zao.

- Na ni matumaini yangu makubwa sana kwamba CCM kama chama, kimesikia kilio cha wananchi, kwamba wamechoshwa na viongozi magoi goi katika serikali yao na sasa wanataka mabadiliko!

Ahsanteni.

William.
NO WAY!miaka mitano tena?mpeni kiti cha urais DR SLAA kama alivyoshinda,tumechoka.yaani wamekutuma uje utupe nyimbo tena sio??au we ndo umewaambia unatujulia hapa JF:A S angry:.?
 
Inategemea kuwa nani anasema kuwa facts zipi ni genuine. Facts za nec zinanifanya niwe na wasiwasi nazo ukiangalia inconsistencies nyingi zilizojitokeza na kuzingatia conflicts of interests za wahusika wake. Time will tell kama uchaguzi huu ulikuwa sauti ya wananchi au la, na bahati nzuri muda huo unakuja kwa kasi sana. mark my words.

- Well, binafsi ninaamini kwamba technically kuna makosa mengi sana yamefanywa na NEC, lakini mengi ninaamini ni incomptence zaidi I mean siwezi kuongelea anything ambacho sina evidence on it na time will tell kama ulivyosema kama kuna uchakachuaji umefanyika, lakini hivi kweli wangeruhusu wabunge wengi wa Chadema kuingia bungeni, au?

William.
 
nilisoma zamani hadhithi ya mtu mmoja aliyekua analamba miguu ya "bwana wake".... na sijui kwanini kila siku nakuona wewe kama mlamba miguu wa bwana ukitegema kupewa kitu... bahati mbaya huna chochote chenye ubora zaidi ya kuendesha watu maarufu wa bongo

nashindwa kuelewa sauti ya wananchi gani wasiozidi 505 iheshimiwe, na nashindwa kuelewa wasio kwenye takwimu zako waheshimiwe na nani

ch akujivunia ni kwamba hata mwanangu mwenye 10 years kaniambia "baba huyu analelewa na watu anaowapenda na kuwajali?

- Mkuu siamini kwamba kazi yako ni kulamba miguu ya Dr. Slaa, otherwise pole sana mkuu maana sina muda wa kujibu hizi za mitaani taani ha! ha! ah! ah! waste of my time!

William.
 
William, wewe ni uzao wa CCM na umekulia katika mfumo huo huo wa kiCCM na utawala. Ni mmoja kati ya wale ambao wakiambiwa kuna watanzania wanashinda na njaa kwa kuwa wamekosa hata maboga ya kula wanashangaa kwanini wasingekula pilau. Kwa hiyo katika namna yoyote utakayoongea kumsifia boss wako na chama cha mafisadi mimi sitaona ajabu sana.

Lakini ni lazima ukubali kwamba ni upuuzi na ufinyu wa mawazo kusema eti Kikwete amefanya vizuri lakini watendaji wake ndo wamefanya vibaya. Hao watendaji wake walijiweka wenyewe madarakani? Kwanini asingewaondoa kama alijua wanafanya vibaya? Kwani Kikwete tulimpeleka Ikulu akacheze mziki kule au asimamie rasilimali za nchi na kuitoa nchi kwenye shida na matatizo makubwa ambayo wananchi wake wanakabiliana nayo kila kuchwapo, kuipeleka kwenye maisha nafuu?

Kwa Kikwete kurudi madarakani, naamini tutakuwa na miaka mitano mingine ya kupiga mark time. Naionea huruma nchi yangu Tanzania.

- Wananchi wote wa Tanzania ninaamini tumelelewa na CCM, however Obama alikuwa hajui kwamba policies zake ni mbovu mpaka alipokumbushwa na kura za wananchi juzi, Rais Dr. Kikwete alikua hajui kwamba ana viongozi wabovu amekumbushwa na kura za wananchi, wapi hapa unapata taabu kunielewa!

- Mengine siwezi kukujibu maana ni too low kwa taifa!

William.
 
just FYI... dont think you can rate people as great thinkers or great suckers as you wish because i have seen you abusing this word now.... paki lori kakojoe ulale

- Wengine tunajadili taifa wewe unajaribu kila njia kuonyesha uwezo wako wa kufikiri unapoanzia na kuishia! loh! pole sana I mean this is serious! Samahani hizi lugha za vilabu vya pombe hwua situmii!

William.
 
- Wananchi wote wa Tanzania ninaamini tumelelewa na CCM, however Obama alikuwa hajui kwamba policies zake ni mbovu mpaka alipokumbushwa na kura za wananchi juzi, Rais Dr. Kikwete alikua hajui kwamba ana viongozi wabovu amekumbushwa na kura za wananchi, wapi hapa unapata taabu kunielewa!

- Mengine siwezi kukujibu maana ni too low kwa taifa!

William.

Huna hoja William, it seems uko hapa kisiasa zaidi, huna hata aibu kuuambia umma kwamba Kikwete hakujua kama uongozi wake ni hovyo? Huyu si aliambiwa wazi na akina Warioba na Butiku, makamba akawaita wehu? Ulitaka aambiwe nini? How many times magazeti yameeleza jinsi ambavyo Kikwete amepwaya katika uongozi? You are too low real, sikuwahi kukufikiria kama na wewe unaweza kufika mahali ukawa mtumwa wa mafisadi this much?!
 
NO WAY!miaka mitano tena?mpeni kiti cha urais DR SLAA kama alivyoshinda,tumechoka.yaani wamekutuma uje utupe nyimbo tena sio??au we ndo umewaambia unatujulia hapa JF:A S angry:.?

- Mkuu siamini kwamba Dr. Slaa amekutuma hapa, halafu angalia tarehe za wewe kuingia hapa na mimi inaweza kukusaidia kujijibu maswali yako mengi ambayo ni nje ya masilahi ya taifa!

William.
 
U can never solve the problem with the same thinking used to create it
 
Huna hoja William, it seems uko hapa kisiasa zaidi, huna hata aibu kuuambia umma kwamba Kikwete hakujua kama uongozi wake ni hovyo? Huyu si aliambiwa wazi na akina Warioba na Butiku, makamba akawaita wehu? Ulitaka aambiwe nini? How many times magazeti yameeleza jinsi ambavyo Kikwete amepwaya katika uongozi? You are too low real, sikuwahi kukufikiria kama na wewe unaweza kufika mahali ukawa mtumwa wa mafisadi this much?!

- Kwani Obama ameambiwa mara ngapi bro kwamba policies zake hazifai, ni kweli nipo hapa toka March mwaka jana kujadili siasa you got that right,

- Sikutegema unaweza kuwa mtumwa wa wapinzani if you will! Mengine siwezi kukujibu maana ni too low sana kwa masilahi ya taifa!

William.
 
U can never solve the problem with the same thinking used to create it
noted with thanks.... wengine wametumwa humu kudeki walipojisaidia watu frani
 
- Kwani Obama ameambiwa mara ngapi bro kwamba policies zake hazifai, ni kweli nipo hapa toka March mwaka jana kujadili siasa you got that right,

- Sikutegema unaweza kuwa mtumwa wa wapinzani if you will! Mengine siwezi kukujibu maana ni too low sana kwa masilahi ya taifa!

William.

That is non sense William, kuwa mtumwa wa wapinzani is completely different from kuwa mtumwa wa mafisadi na watafuna nchi, and you should know that Obama is neither an icon of our country nor a model. Not at all, and will never be. Na kuendelea kusema haya, si kumsaidia Kikwete bali kumdhalilisha maana unadhihirisha ni kwanini kila kukicha Kikwete kiguu na njia kwenda marekani, kumbe ndiyo waliokuwa wanamwongozea nchi? why cant you discuss our own problems before you refer America which is 200 times far than us? That is why I said you are too low to discuss matters patterning mstakabali wa nchi hii kwa kuwa na wewe ni uzao wa nyoka. Huwezi kutuletea chochote cha mabadiliko kwa nchi yetu zaidi ya kuisifia mvua kwavile imekunyea.
 
- Mkuu siamini kwamba Dr. Slaa amekutuma hapa, halafu angalia tarehe za wewe kuingia hapa na mimi inaweza kukusaidia kujijibu maswali yako mengi ambayo ni nje ya masilahi ya taifa!

William.
mkuu inaonekana umelewa sana hivyo vyeo vya kupewa kwajina la baba na vi-change vya ufisadi.hamna shida mageuzi ndo hayo yaja nyie wote mtang"oka tu,tumeanza na baba yako huko mtera bado wewe.ikifika zamu yako tutaonana tu mitaani.wewe endelea tu na hizi kauli mbiu zako TOO LOW,TOOO LOOOW kwa taifa,ikifika zamu yako mtaani tunapigana mizinga tukikujibu aah this is too low kwa taifa usitulaumu.(DR SLAA AMEKUJA KUWASHIKA!) "aaaaaaah mkuu this is too low kwa maslahi ya taifaaa"he he hee ,GREAT THINKER:doh: UNAJUA KUTETEA UGALI.kaa chonjo moto unakuja.
 
That is non sense William, kuwa mtumwa wa wapinzani is completely different from kuwa mtumwa wa mafisadi na watafuna nchi, and you should know that Obama is neither an icon of our country nor a model. Not at all, and will never be. Na kuendelea kusema haya, si kumsaidia Kikwete bali kumdhalilisha maana unadhihirisha ni kwanini kila kukicha Kikwete kiguu na njia kwenda marekani, kumbe ndiyo waliokuwa wanamwongozea nchi? why cant you discuss our own problems before you refer America which is 200 times far than us? That is why I said you are too low to discuss matters patterning mstakabali wa nchi hii kwa kuwa na wewe ni uzao wa nyoka. Huwezi kutuletea chochote cha mabadiliko kwa nchi yetu zaidi ya kuisifia mvua kwavile imekunyea.

- Well, siasa ni kama sheria huwa inajali sana mifano, ninachosema mimi ni kwamba kwa mtizamo wangu kulingana na yaliyokwisha semwa na NEC na wasimamizi wa kimataifa wa uchaguzi ni kwamba wananchi wa Tanzania wamemchagua Dr. Kikwete, lakini wamewapiga chini viongozi wake wengi wa chini kuanzia mawaziri mpaka madiwani, maana yake kwa maoni yangu ni kwamba wananchi hawakuridhishwa na uongozi wake wa chini!

- Ni kipi usichoelewa hapo mkuu naona una maneno mengii ambayo hayaf
anani na topic yangu vipi ukianzisha topic ya machugu yako na uongozi wa taifa lako maana unaonekana una machungu mengi sana, pole sana bro maana life is not supposed to be like that bro! na tatizo ni kwamba unatoa machungu yako kwa the wrong person!

William.
 
mkuu inaonekana umelewa sana hivyo vyeo vya kupewa kwajina la baba na vi-change vya ufisadi.hamna shida mageuzi ndo hayo yaja nyie wote mtang"oka tu,tumeanza na baba yako huko mtera bado wewe.ikifika zamu yako tutaonana tu mitaani.wewe endelea tu na hizi kauli mbiu zako TOO LOW,TOOO LOOOW kwa taifa,ikifika zamu yako mtaani tunapigana mizinga tukikujibu aah this is too low kwa taifa usitulaumu.(DR SLAA AMEKUJA KUWASHIKA!) "aaaaaaah mkuu this is too low kwa maslahi ya taifaaa"he he hee ,GREAT THINKER:doh: UNAJUA KUTETEA UGALI.kaa chonjo moto unakuja.

- Mkuu hi yako siwezi hata kuigusa maana ni too low kwangu na hata taifa, samahani sana!

William.
 
mkuu inaonekana umelewa sana hivyo vyeo vya kupewa kwajina la baba na vi-change vya ufisadi.hamna shida mageuzi ndo hayo yaja nyie wote mtang"oka tu,tumeanza na baba yako huko mtera bado wewe.ikifika zamu yako tutaonana tu mitaani.wewe endelea tu na hizi kauli mbiu zako TOO LOW,TOOO LOOOW kwa taifa,ikifika zamu yako mtaani tunapigana mizinga tukikujibu aah this is too low kwa taifa usitulaumu.(DR SLAA AMEKUJA KUWASHIKA!) "aaaaaaah mkuu this is too low kwa maslahi ya taifaaa"he he hee ,GREAT THINKER:doh: UNAJUA KUTETEA UGALI.kaa chonjo moto unakuja.

:hurt::hurt::hurt:😛eace:
 
Angarau umenifanya niulize baada ya kupigwa butwaa kidogo, nisaidie tafadhali, kuna vidfeo inaonyesha mh. Masha anawashukuru wananchi kwa kumgagua kwa kura zake 28,..... Ambazo ameshindwa na mgombea wa chadema 38,.... Je inakuwaje hapo, maana kwa mujibu wa gazeti la mwananchi ni kuwa mgombea wa chadema alishinda, na vurugu zilifanyika ili matakeo yatangazwe, ikawaje baadae, nimepagawa,

nafikiri kuna haja ya kufanya kama kenya walivyofanya kama amani ya busara haipo basi ya ncha ya upanga...

Kwanini hivyo, kwani Tanzania bila ccm haiwezekani?[/B]

- Mhhhh mkuu sijakupata bado tupo pamoja hapa au?

William.
 
- Inaonekana kwamba kuna ujumbe mzito sana wa wananchi kwa Rais aliyechaguliwa, kwamba wananchi wana imani naye sana, lakini wana tatizo kubwa sana na watendaji wake, hasa mawaziri na wakuu wa Mikoa/Wilaya. Ni matumaini yangu kwamba amewasikia wananchi na ataufanyia kazi ujumbe wao mzito sana waliomtumia kupitia kwenye kura zao.

Wananchi wangapi waliomchagua? Sasa mbona kila kona wanalalamika kadri NEC wanavyotangaza? Ataufanyia kazi? Are you msemaji wa Kikwete? Halafu ni wakina nani wenye imani naye sana?....Hivi unafanya tafiti au ndo unabandika "facts" toka kichwani mwako?

- Na ni matumaini yangu makubwa sana kwamba CCM kama chama, kimesikia kilio cha wananchi, kwamba wamechoshwa na viongozi magoi goi katika serikali yao na sasa wanataka mabadiliko!

Ahsanteni.
Hahaha! Inabidi tu nicheke! Una maana Makamba and the co. out?
I mean hata JK out?....Aisee inabidi utuambie kama ndio mrithi mpya wa Chiligati :smile-big:

Afadahli ukaweka jina maana ningehisi ni George Bana au Prof. Mukandara
 
Back
Top Bottom