William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
-
- #281
Hayo ya kufaa ama hakufai kuwa Rais sio kazi yangu maana nimeshakueleza msimamo wa Dr Salim ambao mara kadhaa ameshaurudia hata hivi karibuni kwenye vyomba vya habari tena bila ya kuzungusha maneno. He has no ambition whatsoever and he is happy on what he does now for the Prseident, country and our continent.
Sidhani kama haya unayosema sasa ndiyo niliyokutaka utoe hizo facts na dataz. Na pia na haya ya Mzee Ndenjembi nayo ni uzushi na uongo kama ambavyo ulivyodai hapo mwanzo kuwa eti alihongwa gari na Dr Salim. Kama kuna mtu aliyekataa hongo na kusimama kidete hadi sasa na Dr Salim basi ni huyu mzee. Kukataa kumuunga mkono "wanyumbani" na kusimamia misingi isiwe sababu ya kumdhalilisha Mzee wa watu...
Hilo la heshima kwa Dr Salim halipo na halijawahi kuwepo. Hiyo siyo hulka yako kaka.
You still have responsibility to produce ur so called facts, evidences and datza za hizo tuhuma ulizozitoa katika thread hii na katika ule mjadala uliopita hivi karibuni kama ambavyo nimeorodhesha hapo kabla na kama ulivyoainisha kuwa hapa hakuna majungu wala uongo.
Tafadhali pia naomba uonyeshe mahala popote pale ambapo BUTIKU aliwahi kumpigia debe Dr Salim. Popote pale. Mlishadai kuwa Dr Salim alitumia fedha za Mwalimu Nyerere Faundation kufanya kampeni. Hili nalo itakuwa ni busara, uungwana na jukumu lako na wenzio kulitolea the so called facts and dataz......
omarilyas
JF bwana, kazi kweli kweli! Ni personalities, personalities and personalities tu kila siku.
Iko wapi ile mijadala mizito ya sera na visions kama ilivyokuwa huko nyuma?
Tusipoangalia JF itageuka na kuwa jungu kuu la majungu!
- Mkuu Omaar, ninarudia tena sina sababu ya kwenda deep na dataz pamoja na facts kuhusu mapungufu ya Salim na uongozi, isipokuwa bado unayo nafasi ya kukanusha kwa kutaja majina ya wananchi wa Tanzania aliowaajiri akiwa katibu wa OAU, na pia unaweza kukanusha kwamba hakuna mlinzi wake aliyefariki katika mazingara ya utatanishi sana kule Addis, na kwamba hakumpa gari aina ya pick up Ndejembi kumpigia kampeni za urais, na kwamba toka awe mwanasiasa amewahi kugombea wapi nafasi ya uongozi wa wananchi na akachaguliwa, haya unaweza kuyakanusha ukitaka, na pia ukitaka unaweza kuweka hapa nature ya mahusiano yake na yeye ni nini hasa? ila sikulazimishi,
FMEs!
nimekuwepo JF kwa muda mrefu sana sasa nikiwa na lengo moja tu, nalo ni siku moja kuliona taifa langu likiongozwa kwa kuheshimu sheria.
FMEs!
-
- Mimi ni CCM damu na ni mwanachama mkereketwa na nitaendelea hivyo mpaka chama changu kitakaposafishika, ipo siku inakuja ila one thing siwezi kufanya ni kuja hapa na kujifanya neutral au sina upande, hapana!
!
es!
That was just an automatic reminder, computer have been programmed by CCM member her name is Sofia Simba, she is also minister(FYI) who claimed all CCM are mafisadis, so as you!
Hakuna kuangaliana usoni, programm hii haikufahamu inaangalia post zako tu humu wala haina muda wakujibu hoja nisizozifahamu
CCM mafisadi, CCM mafisadi, CCM mafisadi....CCM mafisadi....CCM mafisadi
start;
A=CCM mafisadi
B=FMES is a member of CCM
C=B is a subset of A!
so B=mafisadi
end;
Hence FMES fisadi
Display output
FMES=FISADI.
Nafikiri kuna watu wana ndoto ya kuwa marais...nchimbi, membe ni vizuri wakamulikwa credibilities zao isije ikawa surprise halafu balaa..
That was just an automatic reminder, computer have been programmed by CCM member her name is Sofia Simba, she is also minister(FYI) who claimed all CCM are mafisadis, so as you!
Hakuna kuangaliana usoni, programm hii haikufahamu inaangalia post zako tu humu wala haina muda wakujibu hoja nisizozifahamu
CCM mafisadi, CCM mafisadi, CCM mafisadi....CCM mafisadi....CCM mafisadi
start;
A=CCM mafisadi
B=FMES is a member of CCM
C=B is a subset of A!
so B=mafisadi
end;
Hence FMES fisadi
Display output
FMES=FISADI.
- Waberoya kweli unategemea mimi mtumzima na akili zangu timamu nijibu this childish?
es!
Kaka kwa unachokifanya hapa sidhani kama unamheshimu hata chembe Dr Salim ambaye hata siku moja hajawahi kumvunjia heshima si mzazi wako na wala sio hao waliokuwa wakimtukana wakati ule na hadi sasa wanaendelea kwa njia nyingine.
Kudai huwezi kuweka facts kwa sababu unamheshimu ni njia ya kukimbia jukumu lako la kuweka the so called facts and dataz.
Ni kweli niko karibu naye na kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia kuhusu hayo yanayo/ mnayoyasema na kujua ukweli wake. Sasa kwa kuwa wewe ndiye unayeweka tuhuma hapa na kudai kuwa ni facts, then ni jukumu lako kutoa huo unaoita ushahidi utakaosimamisha tuhuma zako.
omarilyas
Computer does not recognise your statements- Waberoya kweli unategemea mimi mtumzima na akili zangu timamu nijibu this childish?
es!
did you mean
Pretty much all the honest truth telling in the world is done by children. ~Oliver Wendell
FMES I sincerely apologizing for my previous posts, lets go on Man.I have realised is the forums for anyone not place for calling names
cheers
FMES I sincerely apologizing for my previous posts, lets go on Man.I have realised is the forums for anyone not place for calling names
cheers
Mkuu, watanzania wote tungefurahi sana kupata viongozi watakaojali maslahi ya taifa, nakiri hii ndo key priority kufikiria kwa sasa, lakini nathubutu kusema kuwa ndo ndoto kwa vigezo vifuatavyo
1. Huwezi kupata viongozi waadilifu, wenye moyo wa kuwatumikia wanachi kama katiba yetu itabaki ilivyo - hata tume ya uchaguzi kuwa chini ya watawala - hapo utata
2. Elimu ya uraia kwa watanzania wengi ni ndogo mno hasa mikoa na kati na kusini - na hii inachangia mno kutojua ni njinsi ipi kugundua kiongozi anayechaguliwa ni mwadifu au fisadi
3. Ushabiki wa vyama - watu wengi wanachagua chama ambacho wanaona wengi wanakifuata bila kujua ni kipi kimewafanyia
4. Rushwa - bila kutokomeza rushwa sahau kupata viongozi watakaoweka mbele maslahi ya taifa. - takukuru iwe taasisi huru isiwe chini
ya watawala
5. Umaskini na kukata tamaa wa wananchi wa kipato cha chini sasa wameamua kutojitokeza hata kupanga foleni ya kupiga kura - lazima kwanza tuamshe ari ya wananchi na wajue hii ni nchi yao na wako tayri kufa kuitetea - leo hii hakuna kitu.
6. Utawala - Nani anathubutu kujohi au kuuliza gari la mkurungezi limepaki pale rose garden usiku wa saa sita? bado tuna fikira za chama kimoja na hii kuiondoa kichwani itachukua muda.
Mkuu leo hii nikiamua kukutajia viongozi wanaojali maslahi ya taifa hawatafika 20, kwa nini? na hao hao 20 wengine tayari wameshaaza kununuliwa na kuona hakuna haja ya kuililia nchi hii, umeikuta na utaiacha sasa kijana shika chako upumzike na familia yko bwa mdogo!
maoni yangu...
Mpaka mabadiliko ya mfumo mzima wa utawala utakapobadilika ndo tunaweza sasa kusema tunaweza kuwapata hawa viongozi waadirifu - kwa sasa Mkuu uliza watu watakwambia ni Dr Slaa peke yake...