Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,226
- Mkuu Yebo yebo heshima mbele, kwanza wape wananchi matrekta halafu ya mafundi yatajiweka saawa yenyewe kutokana na mavuno ya kazi ya hayo hayo matrekta, sometimes tuwe positive jamani!
Respect.
FMEs!
Wakuu, Rais anatakiwa kuwa mtu kama Mkapa (except for Kiwira like scam na kudanganya watu kuwa unapinga ufisadi huku ukiu-supervise). Awe inteligent, anajua anachofanya, anaweza kuprioritize na kusimamia utekelezaji wa policies anazoleta, asiwe mswahili na kuendesha nchi kiushkaji, na lazima ajue kuwa kupewa nafasi ya kuongoza nchi sio kupewa ufalme, ila ni kupewa nguvu za dola ili ufanye kazi ngumu ya kulinda uslaama wa nchi mali zake na maisha ya watu wake. Lazima ajue nchi inataka nini ili kuondokana na hali duni, lazima ajue kuwa wahalifu wanatakiwa kuadhibiwa na sio kuchekewa, lazima ajue kuwa anatakiwa kuongoza sio kuzuga tu siku ziende.
Am sure kuna watanzania wengi tu ambao wanaweza kufanya kazi hii. May be hakuna kati ya tunaowatajataja au tunaowafahamu, lakini kwenye population yetu ya karibu watu milioni 40, yupo.
Tusijudanganye na kusema kuwa wasomi wanafaa. Angalia uchwara waliotufanyia watu walikuwa madarakani hivi karibuni waliosoma huko US kwenye vyuo vikubwa tu, na tusijesema eti wasio na elimu ndio wanafaa zaidi. Tunatakiwa combination ya elimu, uadilifu, uchapakazi, honesty and alike. Tukiwa na kiongozi serious Tanzania inaweza sana kupiga hatua in a very short period.
FMES kwanini usijitupe ulingoni? at any capacity sio lazima kuwa Rais.
- Mkuu wangu sio vyema kumwaga mtama kwenye kuku wengi, lakini heshima mbele kwa ushauri tupo pamoja sana!
Respect.
FMEs!
Haya mambo ndiyo yamepelekea JKNIA iwe kama ilivyo.
Tangu Wafaransa wajenge na wakaondoka na dada yetu (Bint Kawawa) na kutuachia Mzinga wa Airport, hatuwezi hata kutengeneza vyoo. Ngazi za umeme ndiyo kabisaaa. AC za ndani zimekaa hadi zinafurahisha.
Mie nilifikiri wataambiwa walau watoe kitu kidogo na hizo pesa zitumie kwenye matengenezo. Haya mambo ya kupewa 100% bure yanamatatizo yake. Sawa na mie leo unipe ndege ya bure, tena mpya na nzuri tu, hata ikiharibika kitu cha dola laki moja itakuwa kasheshe. Labda niiuze tu na ninunue Kibajaji kwa huku Sikonge maana hata Airport ni kwa ajili ya kanisa la Moravian Church Sikonge.
FMES,
..kuna mtu aliuliza Salim Salim atashughulikia vipi ufisadi?
..binafsi nadhani jibu lipo ktk jinsi alivyokutana na ufisadi face to face wakati wa kampeni za uchaguzi.
..yale aliyofanyiwa na wanamtandao wakati wa kampeni ilikuwa ni ufisadi wa waziwazi. pale kwa kweli mafisadi walimgongea hodi nyumbani kwake. sasa mimi nilitegemea Salim Salim a draw a line on the sand; aseme no way, na apambane na ushenzi ule aliofanyiwa.
..Salim Salim alipaswa kuwalipua wale waliomchafua. huyu tunayemwita mrithi wa Nyerere kwa kweli ali-act kinyume kabisa na Baba Taifa.
Huyo hapo juu ndie limbukeni wa siasaKwa wasiomfahamu vizuri huyu ndiye Dr. Slaa,
Utamchagua wewe na wajinga wengine lol..Lipumba is the best.Kwa wasiomfahamu vizuri huyu ndiye Dr. Slaa, tunawakumbusha wananchi kumpigia kura wakati utakapofika, kusiwe na kufikiria mara mbili huyu tunamuhitaji sana kwa ajili ya masilahi ya taifa letu!
Kwa wasiomfahamu vizuri huyu ndiye Dr. Slaa, tunawakumbusha wananchi kumpigia kura wakati utakapofika, kusiwe na kufikiria mara mbili huyu tunamuhitaji sana kwa ajili ya masilahi ya taifa letu!
Utamchagua wewe na wajinga wengine lol..Lipumba is the best.
Utamchagua wewe na wajinga wengine lol..Lipumba is the best.
FMES,
..Raisi hashughulikii ufisadi kwa namna ulivyoelekeza kwasababu amekosa pressure ya kutosha toka kwetu WANANCHI, na WABUNGE.
[/COLOR][/U]
FMES,
..kuna mtu aliuliza Salim Salim atashughulikia vipi ufisadi?
..binafsi nadhani jibu lipo ktk jinsi alivyokutana na ufisadi face to face wakati wa kampeni za uchaguzi.
..yale aliyofanyiwa na wanamtandao wakati wa kampeni ilikuwa ni ufisadi wa waziwazi. pale kwa kweli mafisadi walimgongea hodi nyumbani kwake. sasa mimi nilitegemea Salim Salim a draw a line on the sand; aseme no way, na apambane na ushenzi ule aliofanyiwa.
..Salim Salim alipaswa kuwalipua wale waliomchafua. huyu tunayemwita mrithi wa Nyerere kwa kweli ali-act kinyume kabisa na Baba Taifa.
Mkuu Fmes
Kwanza, nakupongeza kwa kuanzisha thread nzuri na kuisimamia vema bila kubabaishwa na wavurugaji. Natamani ungeendesha town hall meeting kwenye televisheni ili kujenga utamaduni wa kusimamia hoja bila kutukana.
Pili, yaelekea ni vigumu kupata serikali nzuri yaani Rais, WM na mawaziri wa wizara nyeti kutoka chama kimoja tu. Wazuri wametawanyika katika vyama mbalimbali na wengine hawana hata vyama, kama wewe mwenyewe, maana umependekezwa.
Tatu, nashawishika kukubaliana na pendekezo la Dr. Slaa kuwa Rais, na Magufuli kuwa Waziri Mkuu, Lipumba Waziri wa Fedha na Uchumi.
Nne, Elimu ya juu sana, au kutokuwa na elimu lakini ukawa na kipaji cha kuongoza, vi vigezo vya hatari katika kuamua nani awe Rais. Kinachotakiwa ni uwezo wa maono, uadilifu, uzalendo usiotiliwa shaka, na msimamo unaovuka itikadi katika kuongoza taifa. Ndani ya Dr. Slaa nayaona haya.
Heshima mbele