Uchagani

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,825
Reaction score
1,307
[h=3][/h]
​
Vifaa vya kunywea mbege vimeitwa majina mengi tofauti.Na hiki ni kifaa gani na matumizi yake ni nini?
Mdau

[TD="align: center"] Reactions:: [/TD]

. Wednesday, March 21, 2012 2 comments





[h=3]Rombo Kuna Raha, Mbege[/h]
​
Mdau akishiriki kinywaji cha wenyeji wake,Mbege
​
Wazee wakipata Kinywaji
​
Mambo yamekolea

​
Nasaha na utambulisho wa wageni.
​

[TD="align: center"]
[/TD]
 
yethuuu wanguu...riaaaa unitembeseeee msee.bilaa shakaa hapo ni mashatiii
 
Nimemuona Babu Asprin Hapo ,Kimey...RR sijui na kina nani wengine ....

huoni Keizer alivyopiga jezi ya Ki mc mc!!! ha ha ha.

halafu kuna kijana mmoja wa arsenal hapo sijui ni yule ke ke ke keeeee!!!!
 
Aisee baba angu ifi na Kimario alikuwepo?
 
Igweeeee,
mbona hivyo vifaa(chubuku) nyingi ni rangi ya njano?

 
tunasema msee. sio Mzee
Uko ni uchaggani kwenu?



Vifaa vya kunywea mbege vimeitwa majina mengi tofauti.Na hiki ni kifaa gani na matumizi yake ni nini?
Mdau
Sasa kama ni kwenu umeshindwa vipi kujuwa hicho unachokiita "kifaa" hapo juu?
Ama unajipakazia uchagga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…