Uchafu ni kitu chochote kilichopo mahala ambake si pake.Uwepo wa viumbe fulan kwenye hii dunia je?

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,325
152,136
Tafsiri rahisi ya neno uchafu kiujumla ni kitu chochote kilichopo mahala ambapo si pake.

Sasa kuna aina fulani ya viumbe nikiwatafakari uwepo wao kwenye sayari fulani ni sawa kabisa na kitu kilichopo mahala ambapo si pake.

Yaani hao viumbe hawa-fit kabisa kuwepo kutokana na tabia na matendo yao ambayo yanawaondolea sifa za wao kufanana na viumbe wenzao wanaoishi katika hiyo sayari.

Sasa hawa kweli hawa-fit definition ya kitu kilichopo mahala ambapo si pake?
 
Lowasa kwenda kwenye chama cha 'wapinga ufisadi' ni uchafu
 
Kwa tafsiri yako na maelezo yako, wewe ndo kiumbe usiesitahili kuwepo duniani, kiumbe wa ajabu kwelikweli
 
Back
Top Bottom