Uchafu ni kipaji pia!

Ila kumwambia mtu anaunuka mdomo ni kazi ngumu tena isiyo na mshahara😀.
 
Nikijutia mm hata nikisengenya na rafikzangu 😃😃huwa nawaza mwemyew akisikia atajisikaje hat km timeongea ukweli lkin naona ni vibaya nlijisikia vibaya sio siri 😀
 
Unaweza ukajisikia vibaya kama mtu aliyefanya dhambi ya kuua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…