Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,790
- 58,402
Ni kipaji pia
Muoneshe wazi kuwa uchafu hupend Yani ukikuta kitu kwake ovyo toa katupe wewe kuwa smart kias ajishtukie hata kuongozana na wewe
Nimefanya sana mpaka nachoka sasa an..Muoneshe wazi kuwa uchafu hupend Yani ukikuta kitu kwake ovyo toa katupe wewe kuwa smart kias ajishtukie hata kuongozana na wewe
Akiwa mbishi tia makonzi πππ
Huyo kiboko mkalishe chini mwambie wazi Tena usipindishe maneno hata kidogo usimuonee aibu kabisa na mwambie hakuna kununa Wala kuachana ila habari ndo hiyo acha uchafu πππjapo mm nilimwambia mwenzangu ana harufu mbaya mdomoni na haikuwa kawaida yake sijui alikula nn niliropoka aisee hajawah sahau had tukaachana najitahid nowadays nachagua watu smart kuanzia mwili had roho πππNimefanya sana mpaka nachoka sasa an..
Just imagine mpaka natafuta wenzake waongee nae ila wapi..
Kila unalomuelekeza yeye analeta ushua mwingi...
πππππUkimuona njee huku weee unasema demu si huyu bana..Huyo kiboko mkalishe chini mwambie wazi Tena usipindishe maneno hata kidogo usimuonee aibu kabisa na mwambie hakuna kununa Wala kuachana ila habari ndo hiyo acha uchafu πππjapo mm nilimwambia mwenzangu ana harufu mbaya mdomoni na haikuwa kawaida yake sijui alikula nn niliropoka aisee hajawah sahau had tukaachana najitahid nowadays nachagua watu smart kuanzia mwili had roho πππ
Una uhakika humu kuna wanawake
AhsanteTupo mkuu hatuwez kuwa na jinsia ya kuwapa Hela watu ambao hawatudai ni maumivu tunashukuru kuwa wanawake π
Bora CCM au uchafu...Na kuwa CCM ni kipaji pia cha kuwa mirembe
Yaani kuweza kuumwa kisa anakaa na mtu msafi..??Uchafu ni kipaji tena Mtu mchafu anaweza kuumwa kabisa au kuathirika kisaikolojia akiwa karibu na Mtu msafi au usafi, kinyume chake ni sawa.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Mdomo hapana ila kwapa Masha Allah kajaaliwakunuka kikwapa ama mdomoee
Wapo kibao tuuu...Una uhakika humu kuna wanawake