uc browser haifanyi kazi kwenye simu yangu.

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,285
kimeo changu ni samsung SGH-D780, majuzi nilipakua uc browser java version, sasa kila nikitaka kuitumia inafail kuestablish connection test, naombeni msaada wataalam!
 
Mkuu kama umedownload new version imegoma basi jaribu version ya nyuma yake
Na kama iliyogoma ni ya zamani jaribu new version
Nenda kwenye website yao
 
Mi nimefanya ulivosema nashkuru imefungua seMA kuna web pages na items inakataa kufungua
 
Mkuu kama umedownload new version imegoma basi jaribu version ya nyuma yake
Na kama iliyogoma ni ya zamani jaribu new version
Nenda kwenye website yao

Dah, imekubali mwana, ninavyoandika hapa natumia uc browser generic version!
 
Nenda google -> getjar -> then u search uc browser au bolt browser. Utapata ambazo zinaingiliana fomat na simu yako.
 
Nenda google -> getjar -> then u search uc browser au bolt browser. Utapata ambazo zinaingiliana fomat na simu yako.

nishaipata kaka, ila naona haiwezi kuwa ka opera!
 
samsung sgh d780 nimewahi kuitumia kaka ur lucky kua na simu ya double line but ina weakness hii haina copy and paste sio. Inaingia version hizi

ucweb- tumia generic version ndo inayokubali na itakusaidia maana ina built in copy and paste

bolt- hawa jamaa wana built in streaming za youtube ili kucheki youtube kwa hio simu yako lazma udownload bolt

opere- kaka simu yako haikubali opera 5 mpaka opera 4 download 4.3 ubrowse faster.

Kwa tatizo la ucweb kuzima (au kucrash ) mara nyingi linatokana na access point avoid kuidirect kwenye access point isiyo ya tanzania

i hope itasaidia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom