Ubwabwa si wako, unaununulia ndizi.!!!!

Junior. Cux

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
5,319
3,767
Si vibya nkiwakumbusha wenzangu na mimi ambao mnahangaika sana kununua vizawadi kwa ajili ya wasichana/wavulana ambao si wenu mkiwa na mawazo siku moja watawakubalia... hizo ela ni bora ungeenda kuanzishia mradi wa kuku.!!!
 
Vizuri sana. Inaonekana somo ulilojifunza limekuingia, na ndio ukome kuhonga.
 
sio mimi banah, hii inawahusu watu wasiokua na gf/bf hata humu jf kama wewe mphamvu... miaka yote hiyo huna hata gal wa kusingiziwa
 
Mh. Mphamvu hebu kuja jibu hii makitu !
Naona inagusa pande za heshma! Weka heshma hapa! Unaba kinaga !
 
Last edited by a moderator:

He's right Judgement, huyu binti anaishi Manzese kwa Mfuga Mbwa, nilishawahi kumlilia shida kipindi fulani, akanikazia ile mbaya wakati ndo alikuwa demu chawote mtaa mzima, na masela kibao walikuwa wanaponea kwake.
Ever since that day, ndo amenitia gundu.
 
Duuh ! Bora pakuche kama ndiyo hayo!
 
Last edited by a moderator:
He's right Judgement, huyu binti anaishi Manzese kwa Mfuga Mbwa, nilishawahi kumlilia shida kipindi fulani, akanikazia ile mbaya wakati ndo alikuwa demu chawote mtaa mzima, na masela kibao walikuwa wanaponea kwake.
Ever since that day, ndo amenitia gundu.

pore sana mkuu, sa hata humu ujaona kabxa mwingine...
 
Last edited by a moderator:
Wewe Mphamvu wewe unamtafuta nn mme wangu Rejao?hebu ucmrushe roho barafu wa moyo wangu na ndoto zako za mchana lol!

Mi nilishakuambia baby, huyo Rojeo sijui Rejao mimi wala sina shida nae.
Sida yangu ni wewe kiliwazo changu,
Ambaye umeuteka mtima wangu,
Kwako silali sipumui...
Aaah? Usinifanye nikaanza tena kuimba mashairi bure.
 
Last edited by a moderator:
Mi nilishakuambia baby, huyo Rojeo sijui Rejao mimi wala sina shida nae.
Sida yangu ni wewe kiliwazo changu,
Ambaye umeuteka mtima wangu,
Kwako silali sipumui...
Aaah? Usinifanye nikaanza tena kuimba mashairi bure.
Yani Mphamvu hakika unahitaji maombi kumtoa huyo pepo anayekusumbua,
Mie mke wa mtu nimeolewa na nampenda sana mme wangu Rejao,
Na hakuna wa kunifanya nitoke kwa mme wangu,wewe tafuta tu mwingine mie hutonipata kamwe lol!
 
Last edited by a moderator:
Mi nilishakuambia baby, huyo Rojeo sijui Rejao mimi wala sina shida nae.
Sida yangu ni wewe kiliwazo changu,
Ambaye umeuteka mtima wangu,
Kwako silali sipumui...
Aaah? Usinifanye nikaanza tena kuimba mashairi bure.

kwel we komaa hapo hapo mwanzoni huwa wanakataa lakini badae ataregeza kamba tu, huyo rejao mwenyewe magambA afu siku hizi hawapendwi kama nini..
 
Last edited by a moderator:
kwel we komaa hapo hapo mwanzoni huwa wanakataa lakini badae ataregeza kamba tu, huyo rejao mwenyewe magambA afu siku hizi hawapendwi kama nini..

Huyu anakaza hapa kwa kuwa kuna macho ye watu... Tukiwa maeneo yetu mbona ataelekea kiblah mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom