feitty
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 2,595
- 4,205
Hivyo ulivyovitaja binafsi nikishirikiana na nimpendae havitanishinda hivo havinipi mawazo.unaelewa maana ya maelewano na upendo wewe au unausikia kwenye bomba? hela ni muhimu ndio maana tulitafuta hela na kupata wanawake bora. hata kama demu alikuwa hajatulia ukiwa na hela anatulia. pesa ni ya mhimu kuhudumia mimba, kuhudumia watoto, makazi, usafiri, ada za watoto, kuondoa stress etc. ukiwa na mimba afu ni mtu wa kukodi taxi ikupeleke kliniki ndio utaelewa umhimu wa wanaume kama sisi. sikebehi, ila nawapa ushauri wadogo zangu watafute maisha kwanza kabla ya kuoa. la sivyo, wanawake huwa wanabadilika na kukuona hauna maana usipokuwa na hela.
Nadhani wewe ndio hujaelewa mada au hujanielewa.