KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Basi sasa njoo ghetto sio gym,nakuhakikishia utarudi kila siku na tena utakua unakuja kunifulia na kupiga deki na kunipikia kwa madiko diko nitakayokupa we vipi?Basi nimeghairi[emoji125] [emoji125] [emoji125]
We Fetty,usiwe mshamba bhana,njoo ghetto yangu nikuenzi kama malkia wa Uingereza bhana,hata chupi nitakufulia na kukupigia pasi,wewe kazi yako ni moja tu na unaijua au vipi?,usiseme huijui tafadhali sana.Dah!kweli hakuna mteremko.
Ukitaka mwenye pesa upate adhabu kama hizo ili angalau uopoe tena hapo unaweza beba majanga ukajuta.
Acha nipambane na masikini wenzangu tunaofanana hali kama hiyo bahati itajitokeza poa ila sio ndo nifunge safari eti naenda kwaajili nipate mwenye kipato hell no.