Ubuyu kwa ambao hawajaolewa tu

Ubuyu kwa ambao hawajaolewa tu

Wewe umeshapata??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ww tyar au unapgia wenzio debe wakat hujui hatma yako[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Sometimes things come to you when ur not even looking,... Et waenda restaurant ili upate boo lol..
 
Cha msingi kwangu ni maelewano na upendo hayo mambo ya kutaka mwenye fedha wakati mimi mwenyew maisha yangu ya kawaida naona kama utumwa.
Akitokea poa asipotokea pia poa ila sio ndo nianze kujipa adhabu ya kutafuta
unafaa kuolewa na mimi
nitafute soon after new year
 
Hayo yote ni maeneo hatarishi kiuhalisia mkuu, yako salama kwenye tamthilia tu.
 
Ha haa ngoja nianze kufata huo ushauri hebu
Sasa wewe baby,unasema ufuate huo ushauri kwani mimi sikutoshi?,acha zako bhana unapendwa halafu unadengua au vipi?unatafuta wenye homa za DENGUE wakuambukize au?
 
Back
Top Bottom