Ubutu wa Primera Liga waanza kuthibitika

Bingwa wa England kapigwa na team iliomaliza nafasi ya 7 la liga..kwenye round ijayo kuna dalili za la liga kuingiza team tatu.
Italy team 1, England 1, ufaransa 1, Germany 1.
Tuipe heshima la liga
 
Man u kafungwa na athletoc bilbap mara 1 hiyo haitoshi kujaji bado, halafu mwala huo huo man city walitoka kwa kufungwa na sporting lisbon, kwa hiyo hapo tuseme lugi ya portugal pia ni nzuri?
Sevilla wamechukua EUROPA kwa kuwa kwenye ligi yao walikuwa hata usaba hawashiki wana shika unanae so walikuwa wana focus kwa Eropa kwa nguvu zote.
Ila Baca kufungwa na PSG ndio inapima ligi, hahahaha.. Alafu mnasahau hawa hawa PSG mbaodai wabovu ndio waliwatoa Chelsea misimu kadhaa iliyopita. Unazumgumzia Sevilla ku concertante Europe league coz walikua nafasi ya mbali je hizo za EPL hua zinacheza zikiwa nafasi ya ngapi kwenye ligi? Mfano liver na Man U?
 
Naongelea ushindani, wana giants clubs kama madrid na barcelona so hiyo ndio advantage yao, ukisema hata ufaransa watakuwa ligi bora kwani wana PSG, au German watakuwa ligi bora kwani wana Bayern Munich.
Kuwa na two giants hakumaanishi ndio ligo bora.
Pia
Chelsea huwa ana mfunga barcelona sana tu
Wale ni two giants wa dunia. Usilinganishe Chelsea au Arsenal na Madrid au Barca. Level za Asernal ni wakina Sevilla.
 
Nimesema lig yenye ushindani na maarufu ni england

Ushindani Kwa maana kwamba england yeyote mech haitabiriki ni kwamba yeyote anashindaa

Na umaarufu ni kwamba inafuatiliwa na wengi sanaa

Spain ni ligi bora kwamaana kwamba club zao ni club bora ambazo hata zikienda kucheza mashindano makubwa zinatoa ushindani mkubwaa na kuwa ni bora mfano ni europa zinaweza kuingia timu 3 nusu fainali na uefa piaa zinaweza kuingia club 3 nusu fainali na biaa wachezaji bora wapo spain
Yoyote yupi? Au unapoona Arsenal au Liverpool anafungwa na Southampton. Sasa hizo club si za kawaida tu.
 
Wale ni two giants wa dunia. Usilinganishe Chelsea au Arsenal na Madrid au Barca. Level za Asernal ni wakina Sevilla.
Mkuu arsenal na sevilla wap na wap...? Sevilla team kubwa bwana....hii arsenal Ondoa kabsa kwenye ulimwengu wa soka.... N team mbovu mno...n sawa na kulinganisha kagera sugar na yanga...et kwa sababu kagera ilishawah kuchukua lig..
 
Bingwa wa England kapigwa na team iliomaliza nafasi ya 7 la liga..kwenye round ijayo kuna dalili za la liga kuingiza team tatu.
Italy team 1, England 1, ufaransa 1, Germany 1.
Tuipe heshima la liga

Timu inayoshika nafasi ya 3 La Liga imeifunga timu inayopambana kutoshuka daraja Epl goli 2-1.
 
Ila Baca kufungwa na PSG ndio inapima ligi, hahahaha.. Alafu mnasahau hawa hawa PSG mbaodai wabovu ndio waliwatoa Chelsea misimu kadhaa iliyopita. Unazumgumzia Sevilla ku concertante Europe league coz walikua nafasi ya mbali je hizo za EPL hua zinacheza zikiwa nafasi ya ngapi kwenye ligi? Mfano liver na Man U?
Sija kuelewa asee

Lakin kumbuka hata Uongereza kipindi Man utd peke yake ilikuwa ina tawala ligi.
Kaangali rekod za EPL kuanzia
2005-2011 ligi ilikuwa haina ushindani na timu zailikuwa zina concentrate vzuri kwenye mashinda ya UEFA
Hispania nako toka mwaka2011-2016 barcelona pekee ilikuwa ina tawala. The sane thing imetokea
So niko sahihi, ushindani ukiwa hamna watu wana fanya vzuri mashindano ya nje.
 
Hata ligi ya Zanzibar ina ushindani na yenyewe ni bora.
Hii ni pumba
Wale ni two giants wa dunia. Usilinganishe Chelsea au Arsenal na Madrid au Barca. Level za Asernal ni wakina Sevilla.
Sasa una niunga mkono nilicho ongea. Nimesema ligi ina two giants, ila wengine wote kawaiada ndio maana inakuwa mbovu, ila EPL timu zote ziko on point kwenye kugombania ubingwa
 
Jamaa uloleta huu uzi hujajaa chin na kutathimini vizur.
We hnadhan swala la tim za spain kuscore points nyingi linakujaje??
-swala ligi bora linaangaliwa mainly ktk inter-leagues competitions kwa mfano UEFA na EUROPA LEAGUE
-sasa fanya itafiti for the past 10 years kat ya la liga na premier n nan kaingiza tim nying kwenye hatua ya robo/nusu/fainal A uefa na uropa league...alafu uje na clue.
-usifanye utafiti wa bila data

Note
.ligi bora ..la liga santander
.ligi yenye ushindan ..epl
 
EPL ina ushindani gani wakati hadi ka Leicester kamekua bingwa, yani eti mchovu wa kushuka daraja anakua bingwa.......ubora wenu uleteni UEFA au Europa basi tuuone
apo ndo kuna ushindanii ukiona hata timuu isiyodhaniwaa kuchukua ubingwaa ikachukuaa hebuu fungukaa mkuu ukiona hivoo hio sio ligi ya timuu kadhaa ni ya wote kwa maana bingwaaa hajulikanii sio kamaa Spain bingwaa mnajua kabisaaa aspokua real Madrid basii ni watoto wa catulunya kama sio hao ni atletico Madrid over asa epl haitabirikii hio ndo fact ya kua EPL ni ligii yenyee ushindanii ndanii yakeee
 
Kwa muda mrefu sana wapenda soka wa dunia wamedanganywa kwamba ligi ya Spain ndio ligi bora na ngumu kuliko ligi zote duniani , hata pale sisi wataalam na wachambuzi wa soka tulipopinga , tena kwa mifano iliyofanyiwa utafiti , tuliishia kusimangwa .

Kipigo cha Barcelona kutoka kwa vibonde PSG ni ushahidi mwingine kwamba soka la spain si lolote , jambo pekee lililojificha ni kwamba , ligi ya spain ina mkusanyiko wa wachezaji wazuri wa dunia ambao kucheza kwao kwa muda kwenye ligi mbovu kumedumaza uwezo wao.

Mifano ni mingi sana , ligi bora haiwezi kuwa na timu bora zisizozidi 5 tu kama siyo 3 , ligi bora ya dunia haiwezekani kuonekana bure bila malipo , ukiacha Tv duni kabisa duniani kama TBC , karibu Tv zingine zote zinaonyesha ligi ya Spain bure kabisa , Azam na Dstv Bomba ni mifano ya karibu .

Timu za Spain zitaendelea kuadhirika zaidi kuanzia sasa na kuvuliwa huo ufalme hewa waliovikwa .

....... Itaendelea ........

Pointless,

Am not sure kama unafahamu lolote kuhusu Soccer,
Basi kama unapenda Soccer, elewa kwamba Soccer haikupendi.
Cos hujazungumzia chochote kuhusu Soccer, Ila
ulichofanya wewe hapo juu ni kutaja Team na kutuelezea biashara.

Halafu takwimu zako hazina mashiko popote Duniani
 
Naongelea ushindani, wana giants clubs kama madrid na barcelona so hiyo ndio advantage yao, ukisema hata ufaransa watakuwa ligi bora kwani wana PSG, au German watakuwa ligi bora kwani wana Bayern Munich.
Kuwa na two giants hakumaanishi ndio ligo bora.
Pia
Chelsea huwa ana mfunga barcelona sana tu

Kamfunga mara ngapi..??
Halafu sidhani kama unafuatilia mechi za Ujeruman au spain au france.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom