Ubuntu Vs Windows

Ubuntu Vs Windows

Zote ni nzuri inategemeana na nini unafanya kwenye komputa, tatizo siyo tool bali unataka kufanya nini? kama wewe unapenda kuchezea ma video game na unataka kutumia ubuntu then good luck. Lakini wewe kama unataka control ya OP at kernel level basi *nix system ndiyo nyumbani.

Uko sahii kabisa kaka sasa nashangaa mtu anayesifia ubuntu kwa mambo ya 3D . Ubuntu si nzuri sana kwa Media na graphics .Ubuntu na linux zina kazi zake Network. Uko kwenye graphics na Media ubuntu haiwezi kuwazidi Mac na windows lakini ukija kwenye nguvu ya network engineering..............
 
kwa ambao wako interested na muonekano..graphic user interface..watakwambia windows poa! Ila mimi napenda linux especialy my favorite os ubuntu.. Kwanza ni bure, ni open source, inakuja na vitu kama libre office, firefox, thunderbird, na vingine vingi...ubuntu tweaks inaifanya ucustomize upendavyo! Windows headache. Mara inatokea Copy of windows is not genuine mara office activation..i hate that
 
Mkuu bado unaitumia ubuntu?
Ubuntu ina wireless network drivers?
 
Mimi natumia Ubuntu!

Ninapata wifi poa kabisa, na headache!!
Nataka nihamie huko mkuu kutoka kwenye window 10. Wireless ilikuja automatically baada ya kuinstall ubuntu au uliingi9a kama driver inayojitegemea? Maana kwenye window 10 ziko automatically
 
Wireless ipo automatically mkuu... And very simple yani..

Ila kama wewe ni ordinary user wa computer, nakushauri ubaki hukohuko Windows, lakini kama ni developer, basi ubuntu ni bora zaidi!!
 
Ubuntu na linux nazifahamu mkuu ni ngumu kuzitumia kama hauna mazoea nayo, pia si vema sana kumkabidhi kompyuta yenye hizo os mtu ambaye ni ordinary user anaweza akakufutia mafile yako bila yeye kujua.
 
Windows ni tamu ila LinuxMint sitoki ng'o. Pc yangu ina dual os Windows 10 + LinuxMint 9.3
Kuhusu wireless drivers kuna baadhi ya pc inakuwa automatic kwenye linux na kuna pc zingine mpaka utafute drivers manually kwenye software manager kwa os ya LinuxMint na kwa os zingine za Linux wanatumia jina la software center.
Ni kutamu huko sitoki.

Kuhusu kufuta mafaili bila kujua, kuna option kwenye file manager ambapo waweza kudisable command ya delete isiwepo ukaacha ya move to trash ambapo file itakuwa rahisi kuirudisha kama imefutwa bahati mbaya.

Na pia mfumo wa linux una uwezo wa kuread na kuwrite kwenye file za partition ya windows hivyo ukitaka linux isiweze kufanya chocho kwenye files za Windows, uhakikishe kwamba unaenable fast startup ya kwenye Windows.
 
Nataka nihamie huko mkuu kutoka kwenye window 10. Wireless ilikuja automatically baada ya kuinstall ubuntu au uliingi9a kama driver inayojitegemea? Maana kwenye window 10 ziko automatically
Kwa kuanza mkuu, anzia na zorin ni simple, then ukimaster ndio utumie Ubuntu, linux, fedora, mint or gentoo
 
Ubuntu na linux nilishawahi kuzitumia kipindi cha miaka 2012-2014, linux os zilishawahi kuwa installed kweny kompyuta za chuo.
Nitahitaji muda kidogo sana kuzimaster tena.
Office si nitahitaji kuinstall mkuu au na yenyewe inakuwa direct kwenye ubuntu/linux?
 
Unaweza tumia libreoffice
 
Ila mjue hata ubuntu ni linux.
 
Habari zenu wakuu,

Naomba mnifahamishe advantages za Ubuntu over Windows..

Pia kama kuna disadvantages za kutumia Ubuntu naomba kufahamishwa.

Shukrani wakuu..
Kama ni developer ama unacode kwa namna yoyote Ubuntu haina mpinzani ila kama ni unatumia PC kwa games ,movie na kusom windows haina mpinzani
 
Back
Top Bottom