Ubuntu Vs Windows

Ubuntu Vs Windows

Okay, let's do a conclusion. Windows will always come first like Mother Earth over other planets. anyways kwenye windows 10 Kuna kitu kinaitwa WSL, Windows subsystem for Linux hii inakuwezesha ku run many Linux distros inside windows No VM needed
Capture.PNG


Pia unaweza ku install GUI ya flavor yoyte ya linux kati ya hizo.
 
sudo apt install Ubuntu is the best
Hii "Sudo" uzuri wake hata kama umelog in kwenye pc yako, ukirun hiyo command lazima utaombwa passwords, tofauti na Windows utaombwa password pale tu uko kwa un-administrated account.
Na hapo ndipo angalau distros za linux zinakuwaga safe from viruses kuliko windows ila windows ina utamu wake na linux ina utamu wake.

Sent from my cupboard using mug
 
Ubuntu ni nzuri shida yake ni kuna software nyingi tunazotumia uwezi kutumia kwenye ubuntu ,program nyingi zina run kwenye windows tu hata ukitumia wine kwenye Ubuntu sio zote windows app zinazoweza ku run hivyo chagua os kulingana na matumizi zako Na applications unazo zihitaji
 
Ubuntu sio OS ni distro, os ni Linux na sio ubuntu.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Mkuu hili somo ni gumu kiasi fulani; kwamba Ubuntu siyo operating system, Au distros siyo operating systems, inachanganya kiasi fulani.

Linux ni kernel ambayo inatumiwa na hizo operating systems ilkiwemo hiyo Ubuntu ingawa kuna mahali nilisoma kwamba siyo kila linux distro ni OS ila ni baadhi. Hata Android inatumia kernel ya Linux ambayo imemodifaiwa. Windows nayo inatumia kernel inayoitwa NT.

Kernel ni sehemu mojawapo ya operating system ambayo ndiyo kwanza inayoanza kuload pale os inapoload.

Pia hata Ubuntu wenyewe wameiita hiyo distro yao Desktop Operating System ukiangalia katika ukurasa wao.

Narudia kusema hili ni somo gumu. Wajuzi mwendelee kutufunza

First of all the scientific term “Operating System” is not clearly defined. Depending on the book you look into, and therefore depending on the author you ask you get different (scientific) definitions for the term “Operating System”. The range goes from the pure kernel itself up to fully running platforms with a set of normal daily use applications. If you ever joined a “GNU/Linux” vs “Linux” discussion you was probably faced with the same problem.


Sent from my cupboard using mug
 
Ubuntu ni nzuri shida yake ni kuna software nyingi tunazotumia uwezi kutumia kwenye ubuntu ,program nyingi zina run kwenye windows tu hata ukitumia wine kwenye Ubuntu sio zote windows app zinazoweza ku run hivyo chagua os kulingana na matumizi zako Na applications unazo zihitaji
Inatemea unauzoef gan na Ubuntu ila bnafsi sijawahi tapa software nukaikosa kwenye Ubuntu
 
Back
Top Bottom