Hivi unajua chimbuko la Ubuntu ni Afrika?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Hakuna program ya Linux inayotamba ulimwenguni kama vile Ubuntu Tunaweza sema ni baba wa Linux, ni Brandi kubwa katika ulimwengu wa Linux mpaka sasa.

Unajua Kwanini ??
Threads ni yako Kuna watu wengi ukiwauliza kuhusu Linux inawezekana wasikujibu lakini ukiwaambia kuhusu Ubuntu wataweza kujua nini unachowaambia.

Bado sijasema kwani unafikiri nimemaliza master Uzi uko chini relax

Ubuntu%20%E2%80%93%202.jpg

Kampuni ya Ubuntu Imetimiza zaidi ya miaka 19 mpaka kufikia Sasa toka kuanzishwa kwake.

Mara ya kwanza Os ya Kwanza ya Ubuntu iliachiwa octoba 20 Mwaka 2004.
Version ya mwanzo ya Ubuntu ilikua Ubuntu 4.10 ilikua inaitwa Warty Worth dogs ilikua imeachiwa pia kwa mfumo wa cd watu walikua na uwezo wa kuinstall Kwenye kompyuta kupitia cd.

Lakini mfumo wa Cd ulifungwa ilipofika mwaka 2012 walipoachia version ya Ubuntu 11.04 ili kupunguza gharama ya watu kusafirisha Cd wanazonunua kupitia mitandaoni.

Chimbuko la Ubuntu limetokea Afrika kusini ambapo neno Ubuntu limetokea Kwenye misemo ya kizulu ikiwa na maana " wa kipekee " Yani mtu wa kipekee Kwenye kundi la watu wengine.

Ilivumbuliwa na mjasiliamari anaitwa Mark shuttleworth kutoka marekani kupitia kampuni ya Canonical ltd lengo kubwa la Ubuntu ni kutumia mfumo wa open source ambao unatumika kwa Ajili ya kompyuta, simu pamoja na network Server.
 
Mark Shuttleworth sio kutoka marekani ni msouth africa mweupe, mhitimu wa University of Capetown na mwafrika wa kwanza kwenda space.
 
South ina wamwamba.
T SCAN machine nayo ilivumbuliwa SA na kuundwa UK.
Bila kimsahsu Elon Mufk mwamba wa dunia ya sasa. SA itakuwa na historia kama ya Egypt ya kale.
 
Ubuntu ni falsafa .
Derived from the Zulu (South African) phrase “umuntu ngumuntu ngabantu,” meaning “a person is aperson through other persons,” ubuntu has been taken as connoting the notion of an interconnectedness of persons and the significance of this for conceptions of personhood and interpersonal relations. It has been conceived as meaning or implying compassion, consensus, forgiveness, conversation, humanity, cooperation, hospitality, acceptance of difference, greeting, mutual support, universal brotherhood, interpersonal harmony, reciprocity, generosity, and reverence for elders (and age), though it is not seen as bearing aclearly representative term in western understanding. Archbishop Desmond Tutu describes it as representing the essence of being human. Similar terms such as ujamaa and harambeehave also been used to describe the notion of what the prominent African philosopher Kwasi Wiredu refers to as acommunalist
 
Hakuna program ya Linux inayotamba ulimwenguni kama vile Ubuntu Tunaweza sema ni baba wa Linux, ni Brandi kubwa katika ulimwengu wa Linux mpaka sasa.

Unajua Kwanini ??
Threads ni yako Kuna watu wengi ukiwauliza kuhusu Linux inawezekana wasikujibu lakini ukiwaambia kuhusu Ubuntu wataweza kujua nini unachowaambia.

Bado sijasema kwani unafikiri nimemaliza master Uzi uko chini relax

Kampuni ya Ubuntu Imetimiza zaidi ya miaka 19 mpaka kufikia Sasa toka kuanzishwa kwake.

Mara ya kwanza Os ya Kwanza ya Ubuntu iliachiwa octoba 20 Mwaka 2004.
Version ya mwanzo ya Ubuntu ilikua Ubuntu 4.10 ilikua inaitwa Warty Worth dogs ilikua imeachiwa pia kwa mfumo wa cd watu walikua na uwezo wa kuinstall Kwenye kompyuta kupitia cd.

Lakini mfumo wa Cd ulifungwa ilipofika mwaka 2012 walipoachia version ya Ubuntu 11.04 ili kupunguza gharama ya watu kusafirisha Cd wanazonunua kupitia mitandaoni.

Chimbuko la Ubuntu limetokea Afrika kusini ambapo neno Ubuntu limetokea Kwenye misemo ya kizulu ikiwa na maana " wa kipekee " Yani mtu wa kipekee Kwenye kundi la watu wengine.

Ilivumbuliwa na mjasiliamari anaitwa Mark shuttleworth kutoka marekani kupitia kampuni ya Canonical ltd lengo kubwa la Ubuntu ni kutumia mfumo wa open source ambao unatumika kwa Ajili ya kompyuta, simu pamoja na network Server.
IMG-20220428-WA0024.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom