Ubunifu

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,424
1,029
Mdau kajitundika Drip ya Kili inashuka taratiiibu

003.AKINYONYAA.jpg
 

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
35,165
35,067
tunavyopenda kuiga tena yatatukuta siku siyo nyingi, lakini pombe noma.
 

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,802
24,505
hivi utamu wa pombe uko kwenye ladha nzuri mdomoni (kwenye ulimi) ama the effect?soda ikiwekwa drip utakosa flavor nzima
 

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,424
1,029
hivi utamu wa pombe uko kwenye ladha nzuri mdomoni (kwenye ulimi) ama the effect?soda ikiwekwa drip utakosa flavor nzima
..Kwenye Ulimi ni Chungu, utamu upo ktk effect. Lkn chondechonde Ulevi Nouuma.
Urewedi lakini??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom