The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,733
- 123,638
ina maana unataka kuniambia tanzania tuna asili ya siasa tokea enzi na enzi!!!!!Jambo la kawaida kwa Tanzania hilo.
Kila mtu ana chembechembe za uanasiasa!
kwahiyo hata wewe ni mwanasiasa pia?Sijui kwa enzi za mbali ila tangu tulipozaliwa 26/04/1964 wote wanasiasa tu!
mimi?Ninazo chembe za uanasiasa mkuu!
Hata wewe unazo pia, jichunguze vizuri utagundua.
ngoja nijifanyie research, sijui katika maabara gani!!!Usi_conclude haraka kuwa hauna.
Take your time hata siku mbili tatu utagundua tu!
Madogo wametisha,creative.Nyota njema huonekana asubuhi
hahahahahPolitical Laboratory...🙂🙂🙂🙂🙂
Haswaa kabisa mkuuMadogo wametisha,creative.