Ubunifu

Ubunifu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
a1901d79d1717d31e57f4aa1e6ff6c30.jpg
 
mshana jr amini usiamini huyo dogo uwezekano mkubwa sana atakua fundi/mtaalam tu. Shule na mazingira ndio vitaamua ubora na atafika mbali kiasi gani lakini uinjinia wake upo kwenye damu sio wa kusomea.
 
duh! Sikio limemezwa
Kipaji hicho kinahitaji muendelezo
 
Sasa kama hizo spika zinapiga mdundo kweli dogo si atakuwa kiziwi?
[emoji134][emoji134]
 
Ubunifu sijaona hapo zaidi ni kumuaharibu dogo maskio
 
kichwa kitauma sana akivua ilo dude mana mdundo wake naamini sio balance kabisa kuvaliwa sikioni
 
Back
Top Bottom