Activister
Mfano
Chenge ni fisadi wa rada lakini ccm kwa ujumla wake wanamkubali unataka kusema anafaa kwa taifa na wanachi?
Sasa hivi bungen umezuka mjadala wa kufuta div zero na kuweka v nini ubora wa wazo hili
japo ccm wengi wanasuport?
Vazi hilo kufanya livaliwe na shule nyingi za hapa mbeya haimaanishi linafaa, yawezeekana ni wapuuzi wachache kwa
faida yao kama ilivyo kwa
Chenge na kubadili div zero kuwa v walifanya maamuzi ya kijinga.
Unaweza kutuwekea hapa hizo sababu hasa ya kutengeneza vazi la aina ile na faida zake?
1. Umeisoma vizuri title ya hoja hii? kuvaa vazi la hovyo haimanishi wewe ni mtenda maovu
Inaelekea ulikuwa kiongozi -----, unaweza vaa kama sister lakini ukawa na tabia za hovyo....
Tunaongelea ubora na unadhifu wa hilo vazi la vilinda kama wachezashoo wa Saida karoli...........Ubora wa
Taaluma huanza na unadhifu.... nk
1. Vazi la shule nimaamuzi ya mwalimu wa nidhamu?............unaelewa unachokijadili?
2. Unafahamu vazi la shule na nembo zake linatamkwa bayana kweye katiba ya shule? je mwalimu/walimu wanaweza badili kitu chochote...........?
3. Umesema shule zote za wazazi mbeya mjini,
kwa maana ya maamuzi ya hao waalimu wa Sangu ndiyo maamuzi kwa shule zingine?
Nasikitika kwamba unajidhalilisha kusema
ulikuwa kiongozi na napatashida kuona usivojielewa wala kuelewa hata ile mada tu.