Ubunifu wa kipumbavu sekondari ya sangu.

Ubunifu wa kipumbavu sekondari ya sangu.

Sekondary ya sangu ipo mbeya mjini, nje kidogo ya mji, wanafunzi wa kike wanavaa brauzi kwa chini ina malinda na suruali, ukiwaona watoto hawa hata asiye na shepu anavutia kwa sababu ya mavazi, kila mtoto wa kike anaonekana kuwa na mkia, kajazia neema za alah! Mavazi haya hayafai kwa wanafunzi na nayalaani hadharani, mwanafunzi wa kike avae sketi kama mfuko wa mashine ili asiingie kwenye mtego wa kuleta matamanio kwa wanaume walafi na mbweha kwa wanawake.
Sangu haipo nje ya mji
 
Marehem mzee ngondya ....daa
Kapyela anagonga stic mpka sio vzr.
Sofilin mwenyewe mzee wa kudai ada.
Bukuku....mkuu wao

Seem za maangamizi uwanja wa mbuzi na SOWETO kule mkabala na kantini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watu huku mtaani wanawavisha u ninja wake zao ila bado tunawakadilia utamu na shape
 
Back
Top Bottom