Ubunifu wa kipumbavu sekondari ya sangu.

Sekondary ya sangu ipo mbeya mjini, nje kidogo ya mji, wanafunzi wa kike wanavaa brauzi kwa chini ina malinda na suruali, ukiwaona watoto hawa hata asiye na shepu anavutia kwa sababu ya mavazi, kila mtoto wa kike anaonekana kuwa na mkia, kajazia neema za alah! Mavazi haya hayafai kwa wanafunzi na nayalaani hadharani, mwanafunzi wa kike avae sketi kama mfuko wa mashine ili asiingie kwenye mtego wa kuleta matamanio kwa wanaume walafi na mbweha kwa wanawake.

imejirihirisha wazi kuwa kijana ni mgeni mbeya, umeijua sangu leo sa sita mchana. meta mbona nao wana sare hizo?! punguza viroba
 
Sare hiyo kuvaliwa na shule nyingi haimaanishi ni bora na inaweledi.

Mleta hoja amesema ni ya kipumbavu namimi nasema yakipumbavu, wewe unasemaje?

Kunatofauti ya sare hii na vazi la wacheza ngoma za asili kule mkowani kagera?
 
Sekondary ya sangu ipo mbeya mjini, nje kidogo ya mji, wanafunzi wa kike wanavaa brauzi kwa chini ina malinda na suruali, ukiwaona watoto hawa hata asiye na shepu anavutia kwa sababu ya mavazi, kila mtoto wa kike anaonekana kuwa na mkia, kajazia neema za alah! Mavazi haya hayafai kwa wanafunzi na nayalaani hadharani, mwanafunzi wa kike avae sketi kama mfuko wa mashine ili asiingie kwenye mtego wa kuleta matamanio kwa wanaume walafi na mbweha kwa wanawake.

Mbona bomba tu mkuu. Hayo mengine ni UROHO wacko tu.
 
Sare hiyo kuvaliwa na shule nyingi haimaanishi ni bora na inaweledi.

Mleta hoja amesema ni ya kipumbavu namimi nasema yakipumbavu, wewe unasemaje?

Kunatofauti ya sare hii na vazi la wacheza ngoma za asili kule mkowani kagera?

mawazo ya mleta hoja ni ya kipumbavu na hayana mashiko hivo hata wewe umediriki ku support huo ----- wa mleta hoja. zile sare ziko poa sijaona tatizo liko wapi.
 
Sekondary ya sangu ipo mbeya mjini, nje kidogo ya mji, wanafunzi wa kike wanavaa brauzi kwa chini ina malinda na suruali, ukiwaona watoto hawa hata asiye na shepu anavutia kwa sababu ya mavazi, kila mtoto wa kike anaonekana kuwa na mkia, kajazia neema za alah! Mavazi haya hayafai kwa wanafunzi na nayalaani hadharani, mwanafunzi wa kike avae sketi kama mfuko wa mashine ili asiingie kwenye mtego wa kuleta matamanio kwa wanaume walafi na mbweha kwa wanawake.

Tumia kichwa kikubwa chenye nywele kufikiri...
 
Huyu jamaa sidhani kama anaifaham mbeya vema. Sangu ipo katikati ya mji wa mbeya, lakini hoja yake inamashiko na imenifanya nichangie maana kile kivazi nichakipumbavu kwakweli, hilo naliafiki.

katikati ya mji ni uhindini....miaka ya 1950 maeneo iliko sangu palikuwa nje ya mji na pamezungukwa na mapori na ndo maana gereza likajengwa eneo lile. kwa kweli kivazi ni cha kipumbavu mno ila nilikuwa nashindwa nitasemea wapi?
 
Kwa mara ya kwanza nilipokuwa nimefika Mbeya na kuwaona wanafunzi wamevalia malinda kibao kwenye kiuno nilishanga kumbe ni wanafunzi wa Sangu.Lakini sikuyafurahia mavazi hayo.Watoto wanaoneka kama wanaenda kwenye maonesho ya ngoma za asili.
 
mnaoponda hizo sare za hao wanafunzi hamjielewi...............kichwa si kwa ajili ya kufugia nywele
 
Sekondary ya sangu ipo mbeya mjini, nje kidogo ya mji, wanafunzi wa kike wanavaa brauzi kwa chini ina malinda na suruali, ukiwaona watoto hawa hata asiye na shepu anavutia kwa sababu ya mavazi, kila mtoto wa kike anaonekana kuwa na mkia, kajazia neema za alah! Mavazi haya hayafai kwa wanafunzi na nayalaani hadharani, mwanafunzi wa kike avae sketi kama mfuko wa mashine ili asiingie kwenye mtego wa kuleta matamanio kwa wanaume walafi na mbweha kwa wanawake.

Kichwa chako ni takataka tupu
 
Waangalie jirani zao st.francis wanavyovaa sketi ndeefu na ndo the best school in town na tz
 
Kapige puchu asee, mbona hayo mavazi ya kawaida na ya muda mrf kwa iyo shule, sijajua umetokea wapi adi leo unayaona ya ajabu.
 
Shule za mchangani hizii hazina maana

wee jamaa duh! Huwa unafikir kabla ya kusema? Sangu shule ya mchangan? Wee umesoma wap?
Mavaz ya marinda hayana tatzo labda ukiwaangalia mabint kwa tamaaa,. Nmesoma Sangu so naongea kitu ninachokijua kabsa
 
SANGU shule ya mchangani ndiyo!, kitaifa ya ngapi? ,inachukua mwisho point ngapi kwenye combination?,watoto wanaoingia form1 ni wa aina gani?
 
nimekushtukia mtoa mada. Unataka wavae sket ili uone miguu ya Bia????
 
5 na 6 wanavaa sketi ndefuuuu na wanapendeza hyo ni kuwatofautisha na watoto wa o level fika mjini pale uliza shule maarufu utaona majibu yake na je nje kidogo duuuu una akili ww??bukuku endelea kukamua
 
Ninachukizwa sana navibrauzi vya watoto wa Sangu secondary. Vinamarinda yasiyo na hesabu na kuelea kiunoni kwa mtoto wa kike kama mcheza ngoma za asili.ama mchekeshaji

Nimejiuliza kwa mda mrefu endapo bodi ya shule ilihusika nakufanya maamuzi juu ya sare hiyo au la....

Naungana na mleta hoja kwamba ni vazi la kipumbavu na halina hiyo sifa ya weledi wala maadili, nikituko kwa kweli

Pole sana, nimesoma Sangu sek tangu kidato cha Kwanza mpaka cha Nne.
Hilo vazi unalolichukia,halivaliwi Sangu tu,ni kwa shule zote za Wazazi Mkoawa Mbeya sijui kwa mikoa mingine.

Hata hivyo kabla ya hilo vazi kupitishwa,Wanafunzi wa kike walikuwa wakivaa sketi unazo zitaka.
(Fika Maktaba ya Sangu utapata Maelezo zaidi juu haya mabadiliko ya Mavazi)
Kwa kukusaidia tu,Hayo maovu uyaonayo kwa hao mabinti wavaao visoro na suruali za kubana ni Hulka tu ya wanafunzi.
Kwa muda wote niliokuwa pale,nilikuwa Kiongozi wa Serikali ya Wanafunzi hilo jambo lilifanyiwa kazi.

Naomba nikuulize Hilo vazi la kuchukiza umeliona lini maana kuna mabadiliko makubwa juu ya nidhamu ya Mavazi kwa wanafunzi chini ya Waalimu hawa.

Mwl. Mwabulambo(Mwambila)

Mwl. Mdendemi

Mwl. Kasebele
Mwl. Kapyela na wengine wengi.
Kajipange......
 
Sekondary ya sangu ipo mbeya mjini, nje kidogo ya mji, wanafunzi wa kike wanavaa brauzi kwa chini ina malinda na suruali, ukiwaona watoto hawa hata asiye na shepu anavutia kwa sababu ya mavazi, kila mtoto wa kike anaonekana kuwa na mkia, kajazia neema za alah! Mavazi haya hayafai kwa wanafunzi na nayalaani hadharani, mwanafunzi wa kike avae sketi kama mfuko wa mashine ili asiingie kwenye mtego wa kuleta matamanio kwa wanaume walafi na mbweha kwa wanawake.
ww mwenyewe ni -------- sana unaonekana ni fataki sana ww,unakazi ya kupiga kijicho kwa watoto wa watu
 
Back
Top Bottom