mwanza_kwetu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 693
- 182
CCM Wakiwa na motion ya kubeba attention za vyombo vya habari kwa wiki chadema imeingia field mbaya zaidi kesho inarusha live mkutano wa hadhara unajua maana yake ccm maamuzi yao ya CC hayatakuwa breaking news yatakuwa common news wakati chadema wakiwa wamegawana miji si kigoma mbeya kagera na songea si iringa wala geita na si tabora wala tanga na sasa ni hiyo kanda ya pwani yaani dsm.
Maskio yote yako chadema. Kwa ubunifu huu naona kabisa ccm akiondoka hata kama hawapendi. Haya tukutane Tanganyika packers huko kawe kwa mh mdee m'kiti wa bawacha niseme tu kwa jembe mdee.
Angalia block ya ukawa huku kuna lipumba na team kanda ya kusini zanzibar mzee wa sawasawa akiwa amekabia penalty mbatia yeye amezamia kigoma na maeneo karibhu