Unafiki mtupu
Kwani ukiacha mandamano na kumwagia watu tindikali chadema wanaubunifu gai mwingine?
Wewe Njoo tu,,tuone kama utapata faida na huo mkutano wenu,yani ninyi siasa zenu mpaka muitaje CCM ndo mnapata sifa,,kwa namna hiyo hamuwezi kabsaaa kuchukua nchi hii mie nawaambia huo ndo ukwel,mshachukulia wotee walioko CCM ni wezi Tu,,
Magwanda wanapojipa moyo.
CC wala hatuna haja ya kurusha maamuzi live.
Ngoja sasa tukitoka huko utaona mtakavyonywea.
Vipi, lile jimbo aliloachia Zitto, mtalipata tena?

Mbona CCM ilishasahaulika zamani sana. Sasa kimebaki kivuli change tu. TUKUTANE KESHO TANGANYIKA PACKERS SASAIVI NIPO SAFARINI KUHUDHURIA HUO MKUTANO TOKA MWANZA.
Nendeni mkalichukue nyinyi,kama mtaweza maana wananchi wamewachoka kwa kunuka rushwa,jiandaeni kisaikolojia kuozea segerea
we kilaza kwel, unataka tumtaje nan anayetuibia mali zetu.
Unafiki mtupu
Kwani ukiacha mandamano na kumwagia watu tindikali chadema wanaubunifu gai mwingine?
Basi hii nchi ccm imewashinda yaani watu mnawajua kabisa ni wahalifu wanawamwagia watu tindikali hamjawachukulia hatua bado wapo mitaani hii kauli yako inadhihirisha wazi ccm imeshindwa kuilinda nchi na watu wake waishi kwa Amani mpaka Twiga wanasafirishwa kwa ndege tena wakiwa hai ndani ya ardhi yetu bado mpo tu, escor mdau wenu feki mpaka leo bado analipwa hii nchi ina maajabu kuliko yale ya misri.
Magwanda wanapojipa moyo.
CC wala hatuna haja ya kurusha maamuzi live.
Ngoja sasa tukitoka huko utaona mtakavyonywea.
Vipi, lile jimbo aliloachia Zitto, mtalipata tena?
Ma-ccm mwaka huu lazima yajinyee taka yasitake
Kwani ukiacha mandamano na kumwagia watu tindikali chadema wanaubunifu gai mwingine?
Uliona hao twiga wakati wanasafirishwa na una uthibitisho wowote kuhusu hii inshu kama ni kweli au umesikia bila uthbtsho,,
Unajipa moyo?
Unajuwa ndani ya moyo wako kuwa Rais atatoka CCM.