Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,814
- 34,195
Utakutana vichaa wanachukua wanaenda kutupa wakukomoe...binadamu hawa mi nawaogopa sana..hawashindwiiInawahusu wenye nyumba za kushare, kama hutaki mtu atumie kifaa chako wakati haupo. ...wanafunzi hostel
M a House girl wengi hawafanyi kazi majumbani kazi yao kuangalia TV. Hiyo ndio dawa yao kiboko.Huu ni uchoyo wa kimataifa.
Watu waliowahi/wanaoishi oman wana roho mbaya sanaM a House girl wengi hawafanyi kazi majumbani kazi yao kuangalia TV. Hiyo ndio dawa yao kiboko.