Ubunifu au kuonekana tofauti? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubunifu au kuonekana tofauti?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kibunago, Feb 14, 2011.

 1. Kibunago

  Kibunago JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 288
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Muda mfupi Lady Gaga ameingia red carpet akiwa ndani ya 'YAI KUBWA. Leo anasubiri kutotolewa ndo aoneshe vitu vyake.
  Ubunifu wake au kuonekana kwake tofauti ni kama wa Msanii wetu Mzee wa farasi, Mzee wa Winchi, Mzee wa Kijiko- Ally Chocky ambaye naye huwa anaingia kwa staili mbalimbali zinazoacha magumzo.

  [​IMG]
   
 2. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Lady Gaga wa hapa au yule mwingine?
   
 3. Kibunago

  Kibunago JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 288
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  EMT hapa wapi au mwingine yupi? Nimeweka picha utafahamu ninayemwongelea kwenye Grammy awards zitatolewa punde!
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Papparazzi!
  Alejandro!
  Bad romance!
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,244
  Trophy Points: 280
  Lady Gaga ni mmoja sijui unamaanisha nini unapouliza swali kama hili!!
   
 6. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kuna Gaga mwingine hapa JF
   
Loading...