Jodeo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 1,286
- 1,332
Tatizo serikali ni kichaa . Pesa wanaprinti wenyewe kisha wanaanza kuzitafuta?!Hii biashara ialalishwe tu na waanze kulipa Kodi km baadhi ya majiji ulaya huku wakitafutiwa sehemu maalum ili isilete bughudha Kwa watu wengine
Haiwezi kufutika maana imekuwepo tangu enzi na enzi
Serikali inahangaika na tozo Kwa wananchi wakati kuna maeneo km haya hagajaangaliwa km fursa