Ubungo Riverside na biashara ya ukahaba mpaka lini?

Hapo wanasiasa watakuambia uchumi wa nchi umeongezeka ndio maana vijana wanajichagulia dada poa kama nguo za karume.
 
Wakuu,

Inasiikitisha kuona eneo la Ubungo River Side kukizidi kukua na kushamiri biashara ya ukahaba tena mapema yaani kuanzia mida ya kumi na moja jioni. Mbaya zaidi watoto wadogo Na wanafunzi ndo unakuta wanapita hapo kutoka mashuleni ambapo kukutana na hawa dada zao na wengine wakiwa ni sawa na mama zao wamejipanga barabarani wakisubiri wateja wakiwa na mavazi ya nusu uchi.

Pembezoni mwa Baa ya Zambezi iliyopo River Side, Ubungo wasichana hujipanga kuanzia karibu na kituo cha mafuta na kuzunguka baa hiyo kuanzia majira ya saa 11 jioni. Wasichana hao wana vyumba vyao katika nyumba moja ya kulala wageni iliyopo jirani na baa hiyo.

Wasichana hao wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 16 hadi 25 wamegeuza eneo hilo kuwa kijiwe chao maarufu, jambo ambalo huwashtua wageni wanaotembelea maeneo hayo kwa mara ya kwanza.

Ni wakati sasa serekali kuchukua hatua kwani watoto wanajifunza maadili yasiyofaa kutoka kwa makahaba hao kuanzia wanavyovaa, wanavyozungumza na wanavyotembea.

baadhi ya nchi kama UHOLANZI wamerasimisha ukahaba, na hivyo kupunguza stigma
prostitution is legal and heavily regulated in Amsterdam. Sex workers operate as licensed, independent entrepreneurs who pay taxes, while brothels require strict municipal permits and zoning compliance. The city actively regulates the industry to protect workers' rights, prevent exploitation, and enforce strict human trafficking laws

View: https://www.facebook.com/reel/1759902698204551
 
Wakuu,

Inasiikitisha kuona eneo la Ubungo River Side kukizidi kukua na kushamiri biashara ya ukahaba tena mapema yaani kuanzia mida ya kumi na moja jioni. Mbaya zaidi watoto wadogo Na wanafunzi ndo unakuta wanapita hapo kutoka mashuleni ambapo kukutana na hawa dada zao na wengine wakiwa ni sawa na mama zao wamejipanga barabarani wakisubiri wateja wakiwa na mavazi ya nusu uchi.

Pembezoni mwa Baa ya Zambezi iliyopo River Side, Ubungo wasichana hujipanga kuanzia karibu na kituo cha mafuta na kuzunguka baa hiyo kuanzia majira ya saa 11 jioni. Wasichana hao wana vyumba vyao katika nyumba moja ya kulala wageni iliyopo jirani na baa hiyo.

Wasichana hao wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 16 hadi 25 wamegeuza eneo hilo kuwa kijiwe chao maarufu, jambo ambalo huwashtua wageni wanaotembelea maeneo hayo kwa mara ya kwanza.

Ni wakati sasa serekali kuchukua hatua kwani watoto wanajifunza maadili yasiyofaa kutoka kwa makahaba hao kuanzia wanavyovaa, wanavyozungumza na wanavyotembea.

Pendekeza biashara mbadala, husitusumbue.
 
Attachments

  • 20260618_104935.jpg
    20260618_104935.jpg
    114.4 KB · Views: 8
Back
Top Bottom