Picha ndo kila kituMnaopita hii barabara upande wa kushoto kama unaenda Buguruni kuna ghorofa juu ina bendera tatu za taifa. Bendera zile zimechakaa, zimeisha na moja imechanika.
Hii ni kuzalilisha icon ya taifa. Mamlaka husika zifuatilie hili swala. Je ile ni ofisi ya umma au nyumba ya mtu?
Halafu wamepachika tatu sijui hata lengo lao ni nini?Bendera zinauzwa. Huenda hawana/hawajatenga bajaeti ya kununua. Au wameamua kupuuzia tu.
Kuzalilisha ndio nini mkuu? Yani ulishindwa hata kupiga picha?Mnaopita hii barabara upande wa kushoto kama unaenda Buguruni kuna ghorofa juu ina bendera tatu za taifa. Bendera zile zimechakaa, zimeisha na moja imechanika.
Hii ni kuzalilisha icon ya taifa. Mamlaka husika zifuatilie hili swala. Je ile ni ofisi ya umma au nyumba ya mtu?
Bendera haifuliwi mkuu ?Note: Bendera ya taifa haifuliwi, haishonwi na kuchakaa kwake siyo kosa naomba uweke picha watapata ujumbe Kisha watanunua mpya mkubwaa..
Ngoja nitapiga picha ila zimechakaa zimekuwa nyeusi kama tambara la deki hata rangi zake zimefifiaKuzalilisha ndio nini mkuu? Yani ulishindwa hata kupiga picha?
Bendera chakavu zinawakilisha watu wanaoishi kwenye nyumba za udongo, zisizo na maji ya bomba wala umeme.Mnaopita hii barabara upande wa kushoto kama unaenda Buguruni kuna ghorofa juu ina bendera tatu za taifa. Bendera zile zimechakaa, zimeisha na moja imechanika.
Hii ni kuzalilisha icon ya taifa. Mamlaka husika zifuatilie hili swala. Je ile ni ofisi ya umma au nyumba ya mtu?
NeverBendera haifuliwi mkuu ?
weka picha mzalendoMnaopita hii barabara upande wa kushoto kama unaenda Buguruni kuna ghorofa juu ina bendera tatu za taifa. Bendera zile zimechakaa, zimeisha na moja imechanika.
Hii ni kuzalilisha icon ya taifa. Mamlaka husika zifuatilie hili swala. Je ile ni ofisi ya umma au nyumba ya mtu?
Ndiyo haifuliwi mkuuBendera haifuliwi mkuu ?