LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 9,211
- 12,716
Tatizo la viongozi wetu Ni unafiki umewajaa, wamezoea kupata vyeo kwa ulaghai.kiongozi yeyote anayelipenda taifa lake atapenda pia kuwapa fursa sawa watu wote hata wale wasiompenda.msingi Mkuu Wa amani kwa taifa lolote Ni haki kwa wote.haiwezekani viongozi waliochaguliwa kihalali wazuiwe kufanya shughuli zao Na watu walioletwa Na rais eneo husika sio sawa.Halafu unakuta mtanzania nashangilia kuwa acha wakomeshwe wamezoea.
Viongozi wakisimama majukwaani wanakemea ubaguzi na kusema maendeleo hayana chama.
Hivi huwa wanamaanisha nini haswa!?