Ubungo kariakoo

Watu wa enzi hizo walifaidi walikuwa wanajipigia nyama kwa nyama hofu yao vimafua tu vya hapa na pale. Utamu umeingia sumu.
Gonjwa kubwa kisonono na nduguye kaswende, tiba yake dawa za rangi mbili... Njano na nyekundu... Ziliitwa tetracycline... 4×1, kisha 2×3 kwa siku NNE maliza kabisa tatizo
 
Na misambwanda FAKE ya mchina. Hakukuwa na mafisadi, wezi, wahuni na wauaji kwenye chama tawala na Serikali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chama cha KWICHI KWICHI HATARI [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…