Ubungo flyover ni mwisho wa matatizo

Ubungo flyover ni mwisho wa matatizo

Kwa wanaopita pale watakubaliana na mimi kuwa HAUTAKUWA MWISHO WA MATATIZO. Foleni lazima itakuwepo mfano kwa trafic light za Buguruni ukitokea TAZARA kwenye hilo daraja, gari zitapigwa pin pale Buguruni mpaka kwenye hizo daraja labda na pale Buguruni kuwe na fly Over
 
Ni mwaka sasa sijaona kilichofanyika, kwa wanao fahamu, nini kinaendelea pale?
 
Ni mwaka sasa sijaona kilichofanyika, kwa wanao fahamu, nini kinaendelea pale?
Nliskia ujenzi ulisimama.
Mchina alitaka abadili mchoro to something simpler.
Ila of late nimeona kama wanaendelea na ujenzi. Sijui walikubaliana vipi na TANROADS
 
Hivi nacho ni kiwanda?niambieni nijue kwani kauli ni Tz ya viwanda,faster niandike Application. Msinibanie,msinibanie.
 
Back
Top Bottom